Mtu anapozaa na bintiye mtoto wake anamwitaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu anapozaa na bintiye mtoto wake anamwitaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamura, Dec 1, 2011.

 1. K

  Kamura JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimesoma gazeti la Rai la leo kuna habari kwamba kuna mwanamume mmoja alimpachika mimba binti yake na amejifungua mtoto. Ninajiuliza huyo mtoto anamwita Babu au Baba?
   
 2. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Baba until further notice!
  Laana imegubika dunia loh!
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  tausi mzalendo
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  wababa waliopoteza mwelekeo.
   
 5. K

  Kamura JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbuka ni baba wa watu wawili yaani mtoto na mama yake
   
 6. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hilo unalijua weye. Mtoto anachojua ni "baba"... hata miye bibi yangu hua sijui kama ni mama yake mama.
  Najua mama ni mama yangu miye.
   
 7. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  a'beee!
   
 8. K

  Kamura JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa kwa nini unamwita BIBI
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  umezaa na mimi baba yako?
   
 10. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Atamwita jina atakalompa.
  Au
  mju-mwana
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapa pagumu,ila kwa kuwa mtoto hajui kilichopo atamwita baba.
   
 12. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lini?
  Mbona sijazaa?
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  ohoo! sasa huyo mtoto ni wanani?
  na ataniitaje?
   
 14. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu mwanaume anayemchachakachua mwanae hadi anamvimbisha hana hata hurume pengine hata koni alikula. eeee Mwenyezi Mungu tuepushe na hiki kizazi cha sodoma na gomora
   
 15. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda utamu wa mama ndio umemvutia, na je vipi kuhusu hito signature yako, (2) unataka na laigwanani na yeye akashikishwe ukuta?
   
 16. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,857
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hii Habari Nimeona kwenye Rai!! Ila Kwa uelewa Wangu Nikajua Hii Habari Inatakiwa Kukaa Kwenye Magazeti ya Akina Shigongo!! Sasa Ndio Kusema Rai sasa Linakula sahani Moja Na Udaku Flavour? Amin Shigongo Stile??
   
 17. F

  FUSO JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  Mmenikumbusha enzi hizo za utoto kuna mzee mmoja alizaa na binti yake -- cha ajabu mtoto alikuwa anamwita baba yake - Babu!! - kila mara tulipenda kwenda kwa yule dingi kumtania yule dogo, tunamwambia we dogo mwite baba yako - dogo anakataa anasema si baba ni babu; siku moja tukampa ndizi then tukamwambia mwite baba yako - akamwita BABAA unaitwa ; tukachekaa tukatimua mbio dogo tukamwachia msala na dingi yake.

  Kama haitoshi alikuwa na binti yake mwingine tunasoma naye darasa moja (la nne), basi akatusimulia eti usiku baba yake alimwambia ana ugonjwa anataka ampime chini -- kumbe anajaribu njia kwa vidole - sisi kusikia hivyo tukaenda kumwambia mwalimu wa darasa - then yule mtoto akahamia kwa mwalimu hadi akamaliza shule. Lile dingi halikufanikiwa kumharibu na huyo mdogo.

  kwa hiyo wapo madingi wanaokula mali zao bila aibu kuvuliana nguo wanaita "nyuki kunywa asali yake"
   
Loading...