Huyo atakua analambo.
na yeye ambae hataki kushughulika ana bamia
na yeye ambae hataki kushughulika ana bamia
Mtu anakuja hivi room kwako, anajilaza laza hivi kwa sofa lako, then anasem lets just be friends
Jama hizi bahati mbona mi sipatagi?
ukiona hivyo ujue ana ngoma uyo!
We atakuwa na lake jambo sio bule, hapo cha kufanya na wewe ni kujilaza na boxer na tu tena kifua wazi
Unaweka muwa wako fastaHuyo atakua analambo.
Huu mtego mdogo lakini ata tembo hakati kamba hiiiDuh, hii mitego mingine, hata sisimizi ananasa
Au unampiga spear kama ya Batista kama haelewihamna namna unaonja tu
Ha ha ha,we mdau unanchekesha upo kaka?hiyo ni sawa na KUOKOTA DODO JANGWANIHata kabla hajamaliza kuongea huo upuuzi wake mi tayari nitakua nshakuwa dj nekedi