Mtu akisema hana hela, wewe unamuelewaje?

Mtu akisema hana hela, wewe unamuelewaje?

mnakutanaga wapi na hawa watu? y aombe? kwa nini asitafute za kwake? mwambie nina shilingi kumi
Mungu aliniepusha tokea nianze kujua kugegeda sijawahi kujutana na waschaba wa hivi, nashangaa sana hizi stori au mnawasingizia?
 
inategemeaga mkuu, mwingine anasema hana hela alaf jion anaingia bar kunywa castle lite tena siku hiyo ni zamu yake kuwanunulia washkaj wake sa apo unategemea bint atakuelewa???? Au inategemea bint alikuwa mgmu ukamvuta akupende kwa kumpa mahela sik ukiishiwa atakuelewa????
Kaka umeongea point, unakuta mtu ka rusha mawe naturally demu anskula ngumu, jamaa snachukua plan B ya kuinvest kwenye mradi usiozalisha.
 
eti ipo bei gani hahahahahahhaahahaaaa
mnauziana nini
Hahahaaaa watu wanabargain duuh!!! Hii ni zaidi ya njaaa halafu denu hata adabu hana, angetumia luhmgha nyingine ya stag.ha basi, angalau a gesema, nisaidie hata 20k kama ipo nina shida ya dharura, ingesound vzr unaweza hata ukakopa ukamtumia.

Ipo sh ngapi???
 
Hii uliyoongea ni point, wifi yako mpaka namuoa hakuwa na hii tabia, si kwamba alikuwa haombi bali alikuwa haombiombi
Wakati niko mdogo nilifundishwa kamimbishwa haka.... kuomba omba kubaya sana... kuomba omba kubaya sanaa ........ kufanya kazi kuzuri sana .....kufanya kazi kuzuri sana.....

Tena nikazoeshwa kuomba pale unapohitaji msaada kweli kweli na umehakiki kuwa huwezi kujihudumia au kujigharamia na isiwe mara kwa mara. Na tena nikazoeshwa kuwa kuna muda utaomba msaada wa mtu aidha akupe au akuazime fedha na atakwambia hana ila utaona anaendelea kufanya matumizi kwa kununua vitu. Hapo si kuwa kakunyima ni kuwa pesa aliyonayo hata kama ni milioni akipunguza hata kumi kukupa basi atakuwa kavuruga mtiririko mzima wa matumizi yake.
 
Back
Top Bottom