Mtu akifa, roho yake huenda wapi?

Swali langu linatutaka tuijadili roho kwa upana wake

Unaposema roho ni nguvu inayomuunganisha Binadam na Mungu.Bado haitoshi kuwa jibu

Ni nguvu ya aina gani?Inafanyaje kazi?

Na ina muunganisha Mtu na Mungu yupi?

Dunia hii kuna dini nyingi na kila dini ina hubiri kuhusu Mungu wake

Lazima tuwe specific

Je kuna Mahusiano yoyote ya kimaumbile au hata kibailojia ndio kati ya mwili na roho?

Tuanzie hapo
 
Nafsi ni nini na roho ni nini?
 
Mwili- Kaburini
Roho- Mbinguni/ motoni
Nafsi inaendaga Wapi? Maana mwanadamu ana nafsi, Roho na mwili
Mkuu mwili ni kama nyumba ambamo ndani yake anakaa mtu,mtu kwa maana ya nafsi+roho,huyu ndiyo mtu halisi in spiritual realm.Mwili tulio nao huu ni wa hapa duniani,ndiyo maana ndini kubwa ukifa watakwambia wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi.
Kama ni msomaji wa Bilia,imeongelea watakatifu kuvikwa miili mipya.Nirudi kwenye swali lako kuhusu nafsi.
Nafsi na Roho huwezi kuzitenganisha,kwa lugha nyepezi assume nafsi ni kama brain/decision making part ya Roho.
Nafsi inahusika na mambo yote ya reasoning na kufanya maamuzi,hivyo mtu akifa nfasi yake ambayo haitenganishwi na Roho hiyo huenda mbele za Mungu kuhukumiwa.Kwa hiyo kama mtu hakuishi maisha matakatifu atapelekwa Jehanamu,wakati ukisubiliwa ule mwisho ambapo mauti,shetani na kila waovu watatupwa kwenye ziwa la moto ambalo ni mauti ya pili.
Kama mtu akifa na aliishi maisha matakatifu atapelekwa Paradiso ambapo ni sehemu ya kungojea kuingia mbinguni.Kwa hiyo ilipo nafsi na Roho inakuwepo,kwa watakatifu kama unafuatilia Roho na nafsi zao ni zilezile wakiwa Paradiso ila wana miili mipya,miili isiyochoka na kunuka kama hii tuliyo nayo hapa duniani.
Kwa hiyo ili kuiponya nafsi hakuna option zaidi ya kumpokea Yesu kama Bwana na mwokozi waetu.Kwa hiyo mtu akifa nafsi na Roho huenda mbele za Mungu kuhukumiwa.
Regards
Aqua
 
The soul goes back to the Astral plane where it awaits reincarnation into another lifetime
 
Roho uendelea kuishi katika Ulimwengu wa roho!
 
Roho uendelea kuishi katika Ulimwengu wa roho!
 
Hakuna ajuaye

Na

Hii imebaki kuwa siri ya Mungu

Cha msingi

Tenda haki, simamia haki, na itetee haki
 
Mtu akifa roho huwa inaenda kukusanywa na roho ya Ndugu wake waliokwisha tangulia,,na maeneo yao huwa ni ulimwengu usioonekana Pitia hapa ufikiri Samuel alikuwa wapi,,,1Samweli 28:10~20,,, Then Musa Torati 32:48-50.
 
Roho haifi huendelea kuishi mpaka hapo itakapopata mwili mpya na kuzaliwa mtu mwingine, kwa iyo anakua mtu mwingine lakini roho ni ileile.
 
Inategemea na mapokeo au mafundisho Ya dini unayoamin
 
Roho haifi mwili ndio hufa so ukifa roho inabadilishiwa housing nyingine/mwili kisha inaendelea kula bata wakat wewe unaliwa na minyoo ndani ya gheto la ardhini.
sawa je nafsi inaenda wapi? ina maana sisi tulishaga kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…