Mtu akifa katika mazingira haya

Mtu akifa katika mazingira haya

Nashukuru,siwezi kupinga ndio maana nikalileta hapa maana kuna wajuvi wengi na tunaweza tukajua ukweli ni upi mkuu.
anaehifadhhwa/kuzikwa pembezon mwa ziwa au chari niyule tayari kisha haribika sana uwezekano wa kumbeba unakua mdogo wanaamua kumuifadh pembezoni
 
Mtu akifa kwa kujinyonga,kuuliwa au kufa maji huenda nafsi yake haikubali ile hali ya aina ya mauti ilomfika,hivyo basi nafsi yake itawaandama watu wa karibu/adui kujaribu mawasiliano hapo ndio watu huona mizuka na kupagawa..hivi ndivyo Mimi nadhani baada ya kufikiria sana
 
Ni kukosa akili tu, unakuta mtu kwao kijijin anajinyongea dar, huo ni upuuzi kwa nini uwape watu mzgo? Si ukanyinyongee kwenu, kwa mtu mwenye akili na asiyetaka kuwapa ndg mzgo kwa sbb amejitakia mwenyewe anafunga safar mpk kijijin
Duuh.................. huko kijijini ndio wapi????
 
Labda sio mchagga. Mchagga afe hata kwa kitu gani lazima afikishwe kijijini kwao. Labda kidogo kipindupindu anaweza akazikwa na serekali kama kutakuwa na garantini. Tofauti na hapo ajinyonge au afe maji kijijini lazima aende.

Proud to be Chagga
 
yaan nilijua kuna sehem utakuja na ushari wako !hheeheheeee!kukumis nayo! hajambo shemej yangu kipenzi
Sio kila sehemu ni pakutoa ushauri shogaangu pengine unapotezea tuu hususani ukiona mambo ya ujinga ujinga tuu,
Mekumisi sana mydear

Shemeji yako mzima wa afya
 
basi tungeyaona makabur mwengi pembezon mwa izo sehem tajwa
 
Na ili utambue kuwa kamba hii ndio yenyewe ifukie kwenye mchanga. Isubiri dakika tano. Ikitoka yenyewe na kuwa juu ya mchanga hiyo original ila ikibaki ndani ya mchanga ujue kanyaboya hiyo.
 
Ni kukosa akili tu, unakuta mtu kwao kijijin anajinyongea dar, huo ni upuuzi kwa nini uwape watu mzgo? Si ukanyinyongee kwenu, kwa mtu mwenye akili na asiyetaka kuwapa ndg mzgo kwa sbb amejitakia mwenyewe anafunga safar mpk kijijin
ataghairi nakubadilisha mawazo
 
Hakuna uhalisia wowote kuhusu hilo jambo ni vijimambo tu vya wana nzengo.
 
Hizo fikra potofu za wagagagigikoko. Kwa ziwani kama ameharibika sawa ila kama mzigo umeondoka leo na ukapatikana leo leo unapelekwa makaburini.
 
Back
Top Bottom