Mtu akifa katika mazingira haya

Mtu akifa katika mazingira haya

Mtu akifa kwa kujinyonga,kuuliwa au kufa maji huenda nafsi yake haikubali ile hali ya aina ya mauti ilomfika,hivyo basi nafsi yake itawaandama watu wa karibu/adui kujaribu mawasiliano hapo ndio watu huona mizuka na kupagawa..hivi ndivyo Mimi nadhani baada ya kufikiria sana
Na ndiyo ilivyo mkuu watu wana imani huenda roho ya kujinyonga au kuzama maji itaandama ukoo familia na kuna wengine wana miiko na ziwani au baharini kisa tu kuna ndugu alifia majini
 
Ni imani tu kaka yangu alizama kwenye maji mpaka kufa n tulimzika nyumbani
 
Kama kajinyongea kwa mtu nyuma ya nyumba yake je mwenyewe atakubali azikiwe hapo?
Labda yule waziwani kama kaharibika sana, yawezekana ni imani tu zawatu
Atakubalije wakati ndio asha RIP?
 
Back
Top Bottom