Mtu akifa anaenda wapi?

Kwanza hakuna kitu kinaitwa mungu.. Mungu is an imagination character ambaye amekuwa programmed kwenye mindset yako..

Nakuuliza swali, mfano ungezaliwa porini kama wakina hadzabe, je ungekuwa una amini katika Mungu ?

Siku ukiweza kutumia upeo wako wa kufikiria vizuri, utagundua una nguvu ya asili ambayo ipo ndani mwako.. hiyo nguvu ipo connected na mazingira.. hapo unaweza ukaita mvua na ikaja, hapo utaweza hata kutabiri mambo yajayo.
 

Mungu hana haja na binadamu "mbinguni", ameshatutengenezea bustani ya EDENI i.e Dunia, hapa ndyo makazi yetu ya milele
Your browser is not able to display this video.
 
Mi nimemsikiliza anaongea ukweli, kama umedhamiria kwenda mbinguni msikilize
Ujinga🚮 nakujifariji , hasa wa viumbe wanaoitwa walokole , bila shaka nimmoja wao🚮
 
Unachekesha sana mkuu kwaiyo kwa mfano Jana usiku nimeota niko las Vegas na snoop nilikua huko?
 
NIMESOMA YOTE ILA SIJAELEWA ROHO NI NINI,MWILI NAUONA HAPA.
 
Ujinga🚮 nakujifariji , hasa wa viumbe wanaoitwa walokole , bila shaka nimmoja wao🚮
Mkuu hata Mimi nilikuwa namswali mengi kuhusu mbinguni na kuzimu, ukisikiliza anasema mbinguni ni mambo mawili yanakupeleka HAKI NA UTAKATIFU , mkuu kuzimu inatisha aisee mateso yalipo kule siyo mchezo, okoka Sasa mkuu mpokee YESU KRISTO, utaongozwa Sara ya toba baada ya hapo utabatizwa maji mengi unazamishwa mwili mzima
 
Shida inakuja hapa:
Hizo dini za kiafrika zinataka kafara za damu za wanyama na binadamu. Yaani ili uwe na hizo nguvu unazozisema lazima utoe kafara. Swali wewe unaweza kujitoa kafara ili upate hizo nguvu? Jibu ni hapana? Kwanini? Ni kwasababu unajipenda. Sasa kwanini watu watoe kafara za wanyama na ndugu zao ili wapate hizo nguvu. Maana yake hawana upendo kwa wanadam wenzao. Ndio maana tunaamini Mungu yupo wa kuwatetea hao wanao onewa na wanadamu wenzao na kuwa hukumu wote waliotenda maovu kwa wanadam wenzao. Hapa ndipo penye msingi wa kuachana na dini za asili.
 
Reactions: Lax
Mateso yaliyopo kule ? Kumbe huyo Mungu ni mshenzi mshenzi tu anataka watu wasamehe wengine wakati yeye ni nunda

Hizi habari bora utumie energy yako kuwatisha walokole wenzako bwashee.
 
Tatizo maswali ya hapa duniani hamtaki kujibu, mnafocus na mbinguni tu
 
Vipi na ile kafara nyingine mkuu ? 😁
 
Tatizo maswali ya hapa duniani hamtaki kujibu, mnafocus na mbinguni tu
Watajibu wapi , mda mwingine wakijifungia chumbani wakitumia akili wanaona kuna kupigwa mkuu
 
Reactions: Lax
Hapana, kama umedhamiria kwenda mbinguni msikilize magreth amure
View: https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
FAKE REVELATIONS
  • Matthew 7:15-20:
    This passage warns against false prophets who come in sheep's clothing but are actually ravenous wolves. It emphasizes that their true nature will be revealed by their fruits, which are the actions and behaviors that result from their teachings.
  • 1 John 4:1:
    This verse instructs believers not to believe every spirit, but to test the spirits to see if they are from God, because many false prophets have gone out into the world
  • 2 Peter 2:1-3:
    This passage describes false teachers who secretly introduce destructive heresies, denying the Lord who bought them, and who will exploit people with deceptive words.
  • Revelation 2:2:
    This verse commends the church in Ephesus for testing those who claim to be apostles and finding them to be liars. (HUYU INAMHUSU SANA HII)
  • Matthew 24:24:
    Jesus warns that false Christs and false prophets will arise and perform great signs and wonders to deceive, if possible, even the elect
 
Kilichopa kwako na hawa ni ubishani kati ya falsafa za mashahidi wa yehova na wasabato vs walokole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…