Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,297
- 27,064
Tatizo aliye kudanganya nae alidanganywa nawewe unaendelea kudanganya wengine nao wakadanganye Watoto wao.Ndani ya mwili wa mwanadam kuna roho na nafsi. Hizo zinaendelea kuwepo milele na milele.
Wewe ndio mpuuzi wakati anarudi ulimuona watu kama wewe ndio mnatakiwa mirembe Cc min -meWewe mpuuzi Yesu alienda na akarudi
Yupi anawaongoza wenzake hapo? Kati ya binadamu na et al.Kila mnyama ikiwemo binadamu anayo akili kulingana na changamoto zake na mazingira yake, au ulitaka kuku atengeneze magari bwashee?
Wanyama wote wanategemeana kumwongoza kivip yani?Yupi anawaongoza wenzake hapo? Kati ya binadamu na et al.
Astaghafiru_llahSisomi ujinga🚮
"Na nlikufanyieni kila mnalohitaji katika dunia hii. Na kama mkiwa shukuru, nitaongeza neema yangu kwenu; lakini mkiendelea kukufuru, basi hakika adhabu yangu ni kali."
🚮Astaghafiru_llah
Surah Ibrahim (14:34):
Allah akuongoze 🤲🏽🤲🏽
Usiparamia kila mtu kiazi weweAllah akuongoze 🤲🏽🤲🏽
Ukweli mtupu huu 🤣🤣Hizo zote ni story za kutungwa mtu akifa haendi popote zaidi ya kuoza na kirutubisha ardhi na kufanya maisha yaendelee duniani
Ukweli mtupu huu mkuu.Nakazia, jinsi mnyama akifa akazikwa ardhini na kuoza ndivyo ilivyo pia kwa binadam sema ni vile hizi imani zinatuaminisha vitu ambavyo atuna ushahidi navyo.
Mtu Akifa amekufa tu bwashee haendi popote zaidi ya kuzikwa na kuoza 🤣Mtu akifa unaenda wapi ? Hili swali lenyewe limekaa kiwehuwehu tu bwashee.
🤣🤣🤣 Roho ionekane wapi mkuu zaidi ya stori tuHizo roho uliwahi kuziona wapi ? Au na wewe umekaririshwa kuwa kuna roho au nafsi
Ujivuni wala siushujaa nisamehe 🙏🏽🙏🏽 maana unakoelekea sipoUsiparamia kila mtu kiazi wewe
Kwenda Mbinguni kufanya Nini mkuu? 🤣🤣Mi nimemsikiliza anaongea ukweli, kama umedhamiria kwenda mbinguni msikilize
🤣🤣Sasa si mnamfukia wote tunamuona wapi aende sasa
Wewe KUFA halafu uje utuambie Ulienda Wapi, Very simple process.Kaburini