ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 11,541
- 21,551
Upande wa pili kwenye Simu "Ujue mtoto toka Jana homa imepanda sijampeleka hospitali kwasababu hujatuma hela''.
Mshikaji ''inamaana umeashindwa kupata buku la kumpeleka hospitali mpaka uningojee mimi'' wakaanza kurushiana maneno mtu na bwana wake.
Ikabidi niingilie Kati nikamwambia jamaa,ndugu hapo anaepata tabu ni Mtoto fanya Jambo la Busara utume au uende uhakikishe mtoto anaenda hospitali.
Hii ni truu Stori ambayo imenifanya niufungue huu Uzi,haya ni mambo ambayo huwa yanatokea Kwa wapenzi mmestarehe Kwa Raha zenu mwisho wa siku mkaleta kiumbe hapa duniani.
Ni jukumu la Baba na Mama kuwajibika kumlea huyo mtoto,kama mnatofauti zenu hazi mhusu huyo mtoto,pambaneni na Hali yenu mkihakikisha mtoto haathiriki na mahusiano yenu.
Wanaume mkisha mzalisha binti basi ebu muwe mnawajibika katika malezi ya watoto,sio tunajifanya vidume vya mbegu halafu hiyo mbegu ikileta matunda tunayakimbia,tunawatesa Sana masingle mama,Sawa humtaki basi msaidie katika malezi ya mtoto,hayo ndio majukumu ya kila Baba aliye na akili timamu,tusikimbie majukumu tupambane kutoa matunzo Kwa viumbe wasio na hatia.
Ni hayo tu