Mtoto wangu Profesa anadondoka sana

Mtoto wangu Profesa anadondoka sana

Naombeni ushauri namshukuru mungu mwanangu anatembea siku hizi,changamoto ni kwamba akitembea haangalii mbele anadondoka ovyo,anajigonga hovyo ana makovu kila mahali. Nifanyeje ?maana kumbeba muda wote kazito kweli 12 kg sio mchezo.
mbona ni kawaida mtt kudondoka kwenye hatua za mwanzo za kutembea
 
Mmmmh! Mie najua wewe ni bikira wamekutoa lini hadi kufikia kuwa na mtoto!! hahahahaha
 
Mtoto mwingine anapoanza kutembea anakuwa na hamu ya kutembea hivyo anaposimama anatembea haraka haraka bila kuangalia mbele anataka kukimbia, anahisi miguu ni mepesi hivyo inampelekea kuanguka. Pia sababu nyingine yawezekana miguu yake bado haijakaza
Yaani anakimbia tu .
 
Miss Natafuta huyo mtoto sio karithi chura ya wewe mama yake ikawa inamzidi uzito anadondoka?

Pili angalia ndani kwako huna kilevi chochote buwenda akawa anajiiba iba humuoni si unajua ameshaanza kutembea.

Kisha kama umempandikiza ungejafibu kuuliza huwenda baba yake mwenye hizo manii ana kifafa.

Alafu mtoto wa mwaka mmoja anaazaje kutembea bhana,huyo ana kiherehere tu wenzie kuanzia miaka mitatu ndo wanaanza.
Ahahaaa ametembea Na miezi kumi
 
Hapa hataki utani ila majibu ya kumfariji na jinsi ya kutatua tatizo
 
Ana miezi mingapi?
Ulijifungua kwa njia ya kawaida au operesheni?
 
Mnunulie vile vigari vya kusaidia kutembea vinauzwa 60,000/= k/koo
 
Akishatembea kitakuwa Na kazi gani tena mkuu?
Unaweza kuuza kwa mtu mwingine au ukakigawa kwa ndugu zako. Lakini ninaimani kitamsaidia asoumie maana unaset mwendo Wa taratibu na unaweze kuongeza kadri anavyozidi kuimalika.
 
Unaweza kuuza kwa mtu mwingine au ukakigawa kwa ndugu zako. Lakini ninaimani kitamsaidia asoumie maana unaset mwendo Wa taratibu na unaweze kuongeza kadri anavyozidi kuimalika.
Aaaah Mkuu vitu vya mtoto ukisema ununue utachezea tu hela Na kujaza nyumba bure.huyu wala hasukumi vitu yeye anakimbia tu ovyo
 
Aaaah Mkuu vitu vya mtoto ukisema ununue utachezea tu hela Na kujaza nyumba bure.huyu wala hasukumi vitu yeye anakimbia tu ovyo
Sawa mimi Wa kwangu nilimnunulia aliimalika vizuri na aliweza kutembea bila makovu wala kuumia ukizingatia niwa kike.
 
Wamama wa siku hizi tabu tupu,mtoto ana mwaka tu unakuja kuomba ushauri wa kwa nini anadondoka akitembea hujui kama kila kitu watoto wanajifunza kidogo kidogo?ulitaka akinyanyuka tu aende straight umtume dukani au umtume kijiko?

Kumwita kwako Professor hakumfanyi awe bora au mtambuzi kuliko wengine huyo atapita njia zile zile wanazopita kina mwanjaa,maneno sijui na mawazo hakuna step atakayoivuka.
 
Back
Top Bottom