Mtoto wangu nitamuita Ruge

Mtoto wangu nitamuita Ruge

Masweeter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
206
Reaction score
579
Nikipata Mume tukapata mtoto tutamshawishi mtoto aitwe Ruge

Imenigusa kuona nilikuwa simjui vizuri, kawasaidia akina mama wengi sana kwenye mitaji kupitia mpango wa FRT
Kawasomesha watoto wa kike wasiojiweza zaid ya 200, Kawataftia kufadhili wanafunzi wa vyuo vingi sana sana Magogoni, TPSC Tabora, Moshi na Mwanza Bugando

Katasaidiwa watoto zaid ya 200 kutibiwa ugonjwa wa moyo India kupitia kampeni yake na Alvero wa UN

Jamani kawasaidia wasanii wengi kujulikana, kwa kuwapa airtime mfano kuna kipindi alikuwa anazunguka baadhi ya redio kupromote nyimbo za diamond zipigwe sanaa , akaulizwa kwanini, akasema kwasababu tunataka radha mupya kwa muziki, hivyo wa zamani weka pembeni, sasa kupitia Ruge Diamond yameajiri wengine

Kawasaidia watu wengi hasa watanzania wanaoenda Marekani kawapa mwongozo pa kufikia wa kumuona na kampuni ipi hasa afanye nayo au aonane nayo

Kawasaidia wasaanii wengi kupata ushirikiano na wasanii wa nje kwa kuwa yeye na Kikwete walikuwa na Mpango maalumu, Jah Kaya

Mapungufu yake yapo ila Nimesema nayojua kidogo juu ya uzuri wake,

Mtoto wangu mie Ntamwita RUGE
 
Kumbe hata mwanaume hauna.....utazeeka hivyohivyo na ndoto njozi
 
comment ya pili dah!! !🙂🙂🙂😀😀😀😀😀
 
Kwanini Ruge sasa. Haya majina ya kurithishana yanaletaga mikosi sana maishani mwa watoto. Kila mtoto awe na Unique name yake. Kulikoni nimuite mtoto Ruge ni aheri nimuite Einsten ama Newton na usiniulize kwanini.
 
Jina ni roho, asije kuja kuishi maisha kama ya jamaa (mazuri kwa upande wa negative)
 
Nikipata Mume tukapata mtoto tutamshawishi mtoto aitwe Ruge

Imenigusa kuona nilikuwa simjui vizuri, kawasaidia akina mama wengi sana kwenye mitaji kupitia mpango wa FRT
Kawasomesha watoto wa kike wasiojiweza zaid ya 200, Kawataftia kufadhili wanafunzi wa vyuo vingi sana sana Magogoni, TPSC Tabora, Moshi na Mwanza Bugando

Katasaidiwa watoto zaid ya 200 kutibiwa ugonjwa wa moyo India kupitia kampeni yake na Alvero wa UN

Jamani kawasaidia wasanii wengi kujulikana, kwa kuwapa airtime mfano kuna kipindi alikuwa anazunguka baadhi ya redio kupromote nyimbo za diamond zipigwe sanaa , akaulizwa kwanini, akasema kwasababu tunataka radha mupya kwa muziki, hivyo wa zamani weka pembeni, sasa kupitia Ruge Diamond yameajiri wengine

Kawasaidia watu wengi hasa watanzania wanaoenda Marekani kawapa mwongozo pa kufikia wa kumuona na kampuni ipi hasa afanye nayo au aonane nayo

Kawasaidia wasaanii wengi kupata ushirikiano na wasanii wa nje kwa kuwa yeye na Kikwete walikuwa na Mpango maalumu, Jah Kaya

Mapungufu yake yapo ila Nimesema nayojua kidogo juu ya uzuri wake,

Mtoto wangu mie Ntamwita RUGE
Rugemarila ni jina la kihaya, lenye maana ya ANAJITOSHELEZA/ANAYATUTUA MWENYEWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom