Mtoto wangu hataki kuniita Baba nifanyaje?

Habari ndugu, jamaa, na marafiki Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi naishi na mke wangu pamoja na watoto wawili wa dada zangu ambao wametangulia mbele za haki,

Shida kubwa inayokuja ni huyu mtoto wangu na yeye amejikuta ameingia kwenye mkumbo wa kuita uncle Kama wenzake wawili wanavyoniita, saiv anamiaka 3 msaada nifanye nini ili aniite baba.? Maana najalibu kumuambia mm sio uncle ni baba lkn anataniita baba kwa mda huo huo baada ya apo ataendelea kuita Uncle.
Usiumie watoto huiga huyo akijitambua atakuita baba
 
Habari ndugu, jamaa, na marafiki Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi naishi na mke wangu pamoja na watoto wawili wa dada zangu ambao wametangulia mbele za haki,

Shida kubwa inayokuja ni huyu mtoto wangu na yeye amejikuta ameingia kwenye mkumbo wa kuita uncle Kama wenzake wawili wanavyoniita, saiv anamiaka 3 msaada nifanye nini ili aniite baba.? Maana najalibu kumuambia mm sio uncle ni baba lkn anataniita baba kwa mda huo huo baada ya apo ataendelea kuita Uncle.
Ungewaambia na hao watoto wengine wawili wa Dada yako wakuite baba pia maana hapo inaonekana majority WINS.

wajomba wakikuita baba sidhani kama utapungukiwa kitu mkuu, by the way kwa majukumu uliyo nayo kwao unastahili kupewa hiyo heshima ya Baba pia. Out of mada kwani Baba zao hao watoto nao wametangulia mbele za haki pia?
 
Endelea kumzoesha mkuuu akiendelea kukua atajua mimi sijui mama na baba yangu walikwama wapi ishu iko hivi
Baba yangu kwao ni mtoto wa kwanza na ndo wa kwanza kuoa(baba yangu amejenga karibu na kwao) ko kuna ukaribu baina ya ndugu wa familia, sasa baada ya baba yangu kuoa kuna jina ambalo ndugu wote kuanzia bibi mpaka watoto wake wote wanamuita mke wa kaka yao tuchukulie mfano(muzina)basi ndugu zetu na bibi yetu wakawa wanamuita mama yetu mzina na sisi hivohivo yaani mpaka namaliza advance namuita mama yangu muzina(sio dada yangu wala wadogo zangu wote tunamuita mama yetu muzina)baada ya kuwa wamama ndo tukaanza kuelewa na kuona aibu kumuita mama muzina ilikuwa ngumu lakini sasa tumeshazoea tunamuita mama
Nimekumbuka na bibi yetu tulimuta kama watoto wake wanavyomuita(mawe)hiyo imeshindikana mpaka sasa tunamuita bibi yetu mawe
Kuna wengine niliona wanamuita mama yao wifi
 
Habari ndugu, jamaa, na marafiki Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi naishi na mke wangu pamoja na watoto wawili wa dada zangu ambao wametangulia mbele za haki,

Shida kubwa inayokuja ni huyu mtoto wangu na yeye amejikuta ameingia kwenye mkumbo wa kuita uncle Kama wenzake wawili wanavyoniita, saiv anamiaka 3 msaada nifanye nini ili aniite baba.? Maana najalibu kumuambia mm sio uncle ni baba lkn anataniita baba kwa mda huo huo baada ya apo ataendelea kuita Uncle.
Ongea vizuri na Mamake, huenda unapokua mbali hakutaji kama Baba.
Lakini unaweza kujikuta Uncle kweli Mkuu
 
Endelea kumzoesha mkuuu akiendelea kukua atajua mimi sijui mama na baba yangu walikwama wapi ishu iko hivi
Baba yangu kwao ni mtoto wa kwanza na ndo wa kwanza kuoa(baba yangu amejenga karibu na kwao) ko kuna ukaribu baina ya ndugu wa familia, sasa baada ya baba yangu kuoa kuna jina ambalo ndugu wote kuanzia bibi mpaka watoto wake wote wanamuita mke wa kaka yao tuchukulie mfano(muzina)basi ndugu zetu na bibi yetu wakawa wanamuita mama yetu mzina na sisi hivohivo yaani mpaka namaliza advance namuita mama yangu muzina(sio dada yangu wala wadogo zangu wote tunamuita mama yetu muzina)baada ya kuwa wamama ndo tukaanza kuelewa na kuona aibu kumuita mama muzina ilikuwa ngumu lakini sasa tumeshazoea tunamuita mama
Nimekumbuka na bibi yetu tulimuta kama watoto wake wanavyomuita(mawe)hiyo imeshindikana mpaka sasa tunamuita bibi yetu mawe
Kuna wengine niliona wanamuita mama yao wifi
Ma' senoqita23, waguma!?
 
Habari ndugu, jamaa, na marafiki Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi naishi na mke wangu pamoja na watoto wawili wa dada zangu ambao wametangulia mbele za haki,

Shida kubwa inayokuja ni huyu mtoto wangu na yeye amejikuta ameingia kwenye mkumbo wa kuita uncle Kama wenzake wawili wanavyoniita, saiv anamiaka 3 msaada nifanye nini ili aniite baba.? Maana najalibu kumuambia mm sio uncle ni baba lkn anataniita baba kwa mda huo huo baada ya apo ataendelea kuita Uncle.
Vijana mnakosea, mnapenda kuendekeza machungu ya zamani. Ni kosa kuwatambulisha kuwa ni watoto wa Marehemu! Hili ni kosa kubwa sana katika malezi. Mtoto akifiwa na mzazi wake anaasiliwa na kuwa mtoto wa aliye hai. Hao watoto ni wako na wanatakiwa wakuite baba na mkeo mama. Hilo la kukubali wakuite mjomba madhara yake hayo. Anza kurekebisha sasa na wengine wanaoendekeza kuita mtoto wa Marehemu...... mnatenda dhambi na kuwaathiri watoto kisaikolojia. Inafikia wakati unawaita ni mtoto wa dada yangu aliyechomwa moto kwa gunia la mkaa huko Kigamboni na mumewe alifu gwa maisha.... uswahili huo
 
Babu yangu wajukuu wake wote tulikuwa tunamuita "tata" wakati tata ina maanisha "baba".

Na bado tulipokuwa watu wazima na tukaelewa maana ya "tata" bado tulishndwa kubadili tuliendelea kumuita hvyo tu
 
Nimemjua huyu mtoto akiwa na miezi 4 sasa hivi ana miaka 4 ananiita baba na baba yake mzazi anamuita baba pia.
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom