Mtoto wangu anasumbuliwa na ugonjwa msaada please

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,773
3,471
Habari za kutwa nzima ndugu zangu.

Niko na mtoto wangu wa kike wa miezi mitatu lakini cha kusikitisha tangia aje duniani kuna harufu ambayo si ya kawaida ambayo inakuwa inatoka sehemu ya siri, tulijaribu kumpeleka hospital tukapewa vidonge atumie.

Kwa bahati nzuri harufu ile iliondoka kwa mda mfupi tu ghafla imeanza kujitokeza tena. Naomba kwa yule anaefaham tatizo hili anijuze nifanye nini.
 
Back
Top Bottom