Mtoto wangu ananishangaza

Kuna watu walikua wanasema kua wewe Ni mchicha mwiba yani valve zinafunguka kote...Kuna ukweli au uzushi?
Hicho alichokiandika bado hakimfanyia awe mwanamke. Mtu yoyote wa jinsia yoyote anaweza type chochote mtandaoni.
 
Uyo chalii ako mzembe sana. Mimi chalii zangu wakiwa na miezi 11 tu waliacha kujikojoleya na kuanza kuongea na kitembea apo apo..sijui ni vi UFO hivi 🙄🙄
 
Yeah,na wanakuwa very smart Kwa kichwa
 
Aundiwe tume ya uchunguzi atakuwa na siri nzito kama ulikuw ukinyanduana ukidhani amelala
 
Ana IQ KUBWA

Chakubwa, unatakiwa kumshukuru Mola Mlezi na siyo kulileta humu!!! Hasad is real na inatosha kuhusudiwa kwa kule kumhadithia mtu hata bila kuiona NEEMA husika...

Tujenga utamaduni wa kuhifadhi mambo yetu ya familia kama hakuna ulazima sana kuyasimulia.

Tutakaribisha Hasad katika majumba yetu.
Ni ushauri tu!
 
Mbona wangu aliacha chini ya umri kama huo, hajinyei kabisa under 2.5' years anaweza count vizuri
Ninyi mna bahati tu, wengine wana mwaka na nusu lakini hata ukimwekea Poti hapo hataki kabisa kukalia...ni kuvaa pampas daily, hourly
 
Ninyi mna bahati tu, wengine wana mwaka na nusu lakini hata ukimwekea Poti hapo hataki kabisa kukalia...ni kuvaa pampas daily, hourly
Mtoto akifika miezi 7 anatakiwa afunzwe kupangwa kujisaidia haja zote kubwaa na ndogo mpk akiamkwa asubuhi unamuweka Kwa potti mpk akojoe mchana pia unamuacha km masaa mawili then unampanga Tena
Mwishowe huzoea hyo Hali wanangu wote wameacha kujisaidia miaka miwili labda itokee bahati mbaya sanaa
Wengine tuna Malezi ya kizamani ya watoto yaani namfunza Bado mdogo haja zote


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…