Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,185
Kama mji ni wako na mtoto ni wako kuna shida gani kwan hapo??!kama unahofia mkeo wa sasa nae ni wako pia sasa unashindwa vp kumuelewesha akakuelewa.Kwa mfano una mji mwingine,huyo utampeleka wapi?
Guys moja ya vitu vya msingi vinavyoweza kukufanya uwe na aman kwenye mahusiano mapya basi ni kuweka bayana kuhus back ground za past relation ambazo una uhakika zitaku hunt down ur whole life na huwez kuzificha no matter what.
Unawezaje kutoweka bayana kama una mtoto tayar??