Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,491
Mpeleke mtoto shule mkuu!Wazo zuri,na inapotokea mama wa mtoto ana mji mwingine na akawa amepunguza mapenzi kwa mtoto huyo...katika hali hiyo utatatuaje hiyo changamoto?
Mpeleke mtoto shule mkuu!Wazo zuri,na inapotokea mama wa mtoto ana mji mwingine na akawa amepunguza mapenzi kwa mtoto huyo...katika hali hiyo utatatuaje hiyo changamoto?
Hapa kuna kitu nimejifunza,kuna baadhi ya shule nilikuwa natembelea unakuta mtoto wa miaka 2 yuko bweni.....inawezekana kuwepo kule bweni kumesababisha na mazingira ya namna hii au mazingira mengine.Mpeleke mtoto shule mkuu!
Ndo hivyo mkuuHapa kuna kitu nimejifunza,kuna baadhi ya shule nilikuwa natembelea unakuta mtoto wa miaka 2 yuko bweni.....inawezekana kuwepo kule bweni kumesababisha na mazingira ya namna hii au mazingira mengine.
Huko unakoishiKwa mfano una mji mwingine,huyo utampeleka wapi?
Kwanini apunguze mapenzi kwa mwanaeWazo zuri,na inapotokea mama wa mtoto ana mji mwingine na akawa amepunguza mapenzi kwa mtoto huyo...katika hali hiyo utatatuaje hiyo changamoto?
Unaweza kusababisha vita mkuu isiyokuwa ya msingi;nadhani ushauri mzuri ni #21Huko unakoishi
ha ha ha ha haKwanini apunguze mapenzi kwa mwanae
Huoni uliepunguza mapenzi ni wewe usieishi nae wala kutoa huduma mtoto apendeze?.
Mchawi pesa
Fafanua mkuuNimesoma comments zote hadi hapa.
Ebu naomba niwashauri tu, mfanye kama mimi
Kama una mji tayari hapo utafanyaje?
ha ha ha ha haijanitokea ila tunajadili tu kwa sababu hivi vitu vipo mkuu.Wew nia yako hasa nini? Mbona kama unajizungusha zungusha hapa! Fanya unachojisikia kufanya
ha ha ha ha haijanitokea ila tunajadili tu kwa sababu hivi vitu vipo mkuu.
ha ha ha mi ni mtu wa stori tu,ili maisha yaendeMbona km mhusika ni wew
Wazo zuriKama uwezo wako unaruhusu, Jenga nyumba kwa jina la mtt, anzishia x biashara, peleka mtt shule nzuri
Mama yake ni mtu mzima na mlishamalizana, mtoto ndio hana maamuzi.Ni wazo zuri,vipi kuhusu mama yake?
Kuhusu mama yake,inakuwaje?
Endelea kumega ukipata muda , akibana achana nae
Kuhusu mama yake,inakuwaje?Kuhusu mzazi wake, inakuwaje?