mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya kurithi?

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,620
4,265
habari wanasheria wenzangu! naomba kupata update za sheria hii, eti hivi kuna sheria ambayo expressly inatoa haki kwa mtoto wa nje ya ndoa kupata sehemu ya urithi, kwa sasa? need yo' help....! thanks in advance!
 
Mwenye haki ya kurithi ni wenye ndoa kama ni mke au mume ....watoto chini ya miaka 18 wanayo haki ya kuhudumiwa tu..wengineo itategemea rai ya mmiliki wa mali kabla hajawa mwendazake............
 
Kiislaam hawarithi wala hawarithiwi na baba wa nje ya ndoa. Wanaweza kumrithi mama (aliye-wazaa) na wakarithiwa na mama na nasaba ya upande wa mama.
 
Ni kweli urithi unafanya vijana wa mijini wabweteke kabisa kusubiria walichochuma wazazi wao...mimi sioni kama ni sawa,pita pita sinza uone vijana wanavyotanua kwa pesa za kuuza majumba na wengine wanavyosubiiria wazazi au mzazi afe!!hasa mikoa hii ya pwani huku ndio tabia hii imeshamiri sana......mimi binafsi sijaikubali inatakiwa na wewe upambane kivyako kabisa ikitokea basi ita boost tu ila si kuitegea kabisa na kuhesabu dakika!!
 
Back
Top Bottom