Naomba kuuliza,
Hilo jina 'mtoto wa mkulima' alijipa yeye mwenyewe au alipewa na watu?
Mwenye macho haambiwi tazama kaka!Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha
Ni mtoto wa mkulima asiye mkulima. Hata Lowasa nae ni mtoto wa mkulima. Issue si kuwa mtoto wa mkulima, issue ni kuwa anafanya nini kutukwamua wakulima tulioko huku Pandagisiza Nzogwinaminzi HIKI KIJIJI KINAWEZA TOA DAWA YA UKIMWI JINA TU NOMA
mtoto wa mkulima! HEBU TUACHE KUTANIUANA BWANA,huyu nae yupo mlemle tu wadau, milion 17 kwake ni kama hela ya kununua maji ya kunywa mara moja tu
Jina la mtoto wa mkulima alipewa na sisi tuache unafiki. Kuwa na miln 20 kwa wakati fulani ajabu cha kuuliza analipwa mshahara kiasi gani? Mbna ameahidi kuchangia UDSM 10mln kila mwaka mpaka mhula wake uishe? Sioni ajabu kumsomesha mwanae hapa nchini hata ikiwa 100mln kuliko kumpeleka ulaya.
Tuachane na hayo yote aliyetoa mada kasema anasikia mimi namjibu aachane na story za vijiweni na zisizokuwa na uhakika maana mwishoni utabaki kuitwa mzushi. Search for true information before chuki zako humu JF
jamani kuna shule ya msingi ama sekondari ambayo ada yake millioni 17 kwa hapa tanzania?