...Mkuu hiyo fee structure sio imetulia. Kama viongozi wetu wanapanda majukwaani na kuhubiri kuendeleza elimu kwenye shule za kata wakati wao watoto wao ndio wanasoma kwenye shule za kulipa ada kwa fee inayozidi hata ada ya mwanafunzi wa chuo cha elimu ya juu ni wazi wanatuingiza porini. Watoto wetu wataishia kuwa matarishi tu......mbaya kabisa.
Ni haki yake, haiwezekani mtoto wa waziri mkuu asome shule za kata hata wewe usingekubali, Cheo cha waziri mkuu sio kidogo hata hivyo sidhani kama kuna shule inatoza gharama hizo kwa sasa hapa tz hata nje ya nchi kama zipo tunaomba mtu atuwekee risiti za ada za shule hiyo ili tuifahamu.Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha
ZIKO NYINGI TUU HII HAPA NI ISM IKO MOSHI NA IMEJAA WABONGO KIBAOmna uhakika na hilo?hv tanzania kuna shule mtoto analipa ada millioni 17 kwa mwaka tena ni primary school embu tunaomba jina la hiyo shule tuijue kwanza
Mlimani tumesoma na mtoto wake,PINDA REBEKA P. Board ya mikopo ilimpa asilimia 80%,kuna usawa kweli?mtoto wa Waziri Mkuu anapewa mkopo mkubwa kuliko mtoto yatima asiye na msaada wowote.
Watoto wa JK washahama siku nyingi st patrik ars sasa hivi wale wawili khalfan na mwenzake wanasoma savanah plains shinyanga tafuta fee structure ya huko utafrahiuongo tu mradi mmempaka kinyesi,wanasoma St.Patrick na kama unahitaji ada yake kwa mwaka utapewa vilevile:rain:
Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha