na watoto JK pia wanasoma huko huko!
Jina la mtoto wa mkulima alipewa na sisi tuache unafiki. Kuwa na miln 20 kwa wakati fulani ajabu cha kuuliza analipwa mshahara kiasi gani? Mbna ameahidi kuchangia UDSM 10mln kila mwaka mpaka mhula wake uishe? Sioni ajabu kumsomesha mwanae hapa nchini hata ikiwa 100mln kuliko kumpeleka ulaya.
Tuachane na hayo yote aliyetoa mada kasema anasikia mimi namjibu aachane na story za vijiweni na zisizokuwa na uhakika maana mwishoni utabaki kuitwa mzushi. Search for true information before chuki zako humu JF
mna uhakika na hilo?hv tanzania kuna shule mtoto analipa ada millioni 17 kwa mwaka tena ni primary school embu tunaomba jina la hiyo shule tuijue kwanza
Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha
Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha
Ni mtoto wa mkulima asiye mkulima. Hata Lowasa nae ni mtoto wa mkulima. Issue si kuwa mtoto wa mkulima, issue ni kuwa anafanya nini kutukwamua wakulima tulioko huku Pandagisiza Nzogwinaminzi ambao tunapoteza ndugu zetu kwa kukosa aspirini mahospitalini. Kama hawezi kutukwamua sisi tulioko vijijini kwa kusimamia sera makini za uchumi basi utoto wake wa mkulima hauna maana kwetu. Ni heri tupate mtoto wa bepari anayeweza kutukwamua katika majanga yanayotukabili huku bush
:rain:mh! sasa hiyo ni primary mpaka amalize la saba hizo million c mchezo! ni mijihela
Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha
huyu anayejiita mtoto wa mkulima, wala hatukumuita sisi tuache kujilaumu hatuna confidence kabisa yaani kila baya tumelifanya sisi? hana cha ukulima wala utoto wa mkulima ni fisadi mchovu tena mtendaji mbovu kabisa. Mpaka sasa namuona ndio PM mbovu kuliko wote waliowahi kushika nafasi hiyo, ameacha kufanyakazi tuliyomtuma ya ukiranja yuko kurambaramba makundi hapo alipo yupo kufunga gidamu za mafisadi hana lolote huyo mnafiki mkubwa na mtendakazi mbovu sana once a clerk always a clerk, anachojua ni kusukuma ma file tu, sasa angalia kitendo alichofanya kwa Magufuli, did he have to put him down kwa media tena akiwa kwenye jimbo lake la uchaguzi? hivi ni nani kati yetu angeweza kuvumilia hilo, mbona hakumjibu hivyo Ngeleja kwenye swala la Dowans? nikifikiria hivyo natamani maandamano kama yale ya tunisia yaje kesho tunachezewa hata na washamamba hapa ndio maaana of course shule anayosomeshewa maana najua hasomeshi mwenyewe ni ya gharama sana japo kwa kipato chake angeweza tu kufanya hivyo, tazama mikakati yake ilivyo ya mibovu, Kilimo kwanza mpaka leo hatujui kama ni sera ama mkakati? is it a policy or a strategy, or both? kageuza nchi zima ya ma power tiller can you imagine? sasa analalamika zinabebea harusi alitaka zifanyie nini? Pole JK maana watanzania tutawatoa tu mtake msitake tumechoshwa na ukalulu wenu
Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha
jamani kuna shule ya msingi ama sekondari ambayo ada yake millioni 17 kwa hapa tanzania?