Mtoto Wa Miaka 14 Apewe Mimba na Mzungu

hii blog ya U turn inaharibu sana mabinti maana hizo ndio story zao Mwamvita leo kavaa CL ya aina fulani mara Mange kavaa nini sijui, nimeona mabinti wengi wanajadili sana hii blogspot kuna Malaya mmoja alianza kumletea Demu wangu mambo ya CL na kumpeleka U turn nilimpa warning kali sana.
NIMESONYAJE? Ndio kamsemo kao kule U turn

Is it really true??! Hata enzi zetu za typewriter kama mmoja alivyoziita, kulikuwa na aina nyingi tu za vishawishi. Vishawishi vipo daima na mwili haujabadilika kwamba siku hizi hormone zinafanya kazi mara 80 ya enzi zetu. U-turn sio lazima kwenda, na mtu asiposikia ya wazazi basi sielewi mwisho wake. Kushinda vishawishi inakuwaje wa zamani waliweza wa sasa hawawezi? Vishawishi kila kizazi kilikuwa navyo vya aina yake na vikubwa kulingana na wakati. Maoni yangu tu.
 
hii blog ya U turn inaharibu sana mabinti maana hizo ndio story zao Mwamvita leo kavaa CL ya aina fulani mara Mange kavaa nini sijui, nimeona mabinti wengi wanajadili sana hii blogspot kuna Malaya mmoja alianza kumletea Demu wangu mambo ya CL na kumpeleka U turn nilimpa warning kali sana.
NIMESONYAJE? Ndio kamsemo kao kule U turn

Baada ya uchaguzi wa Russia Putin aliwalaumu Wamarekani kwa kuchochea maandamano dhidi ya uchakachuzi uliodaiwa kufanywa na chama chake.

Putin hakuwajibika. Badala yake aliwalaumu Wamarekani. Ni kawaida ya waja. Baya likitokea wewe tupia lawama kwa wengine.
 
hongera mzungu kwa kumjaza mimba mwanafunzi .ndo maana mkuu wa kaya alisema hwa wanapata mimba kwa sababu wana kiherehere
eti ongera mzungu wee nafikiri si mzima naisi jamaa zako wana kucmeroon ww, hii issue mkuu wa kaya anahusika vipi?angekua ni mdogo wako au mwanao ungesema ivyo acha upuuzi umeshaniaribia cku kwanza,,,nyoooooooiiiiiko zako
 
Kumbe hakukabwa?

sospa inabainisha ubakaji, kwani mmoja babu, mwingine mjukuu, hakuna maridhiano hapo, ni utapeli uliofanyika. wanasheria watatueleza. na sheria ya mtoto ya 2009, ina mtia hatiani kwani ni ukatili kijinsia kama siyo kisaikolojia
 
Tamaa ya vitu imemfikisha hapo alipo. Angetuambia mzungu alikuwa amemuahidi kumpeleka masomoni ng'ambo tungemuelewa japo kidogo. Viatu na Blackberry tuu vimemponza. atachora kwenye madaftari ya shule viatu na blackberry.
 
Kha! kwa hiyo form two ni tosha kabisa kwa mtoto kuitwa mwanamke na kupewa mimba? kwa hali hii naona hatuja pona bado (sisi wanawake)
Simaanishi hivyo. Ninachosema ni kuwa kwa kijana wa form two anapaswa kufahamu kuwa anaweza kupata mimba akido bila kinga. Alitakiwa kujua hivi na kujikinga... na hiyo ni mimba tu, amepima na VVU?
 
Wakati wote tunajifunza au kwa makosa yetu au ya wengine. Kwa lolote, somo linakuwepo. Tabia ya wadada zetu kuona ngozi ya miaka 48 ni "fataki" na mzungu ni "opportunity" imetoa somo si kwa huyu binti mdogo tu, bali kwetu sote!! Hili jambo lisingefanywa na ngozi ya miaka 48 kwa binti wa miaka 14!!!

Akina dada wengine mitazamo yao ni ya kibaguzi. Mimba za kiswahili wanachomoa, za kibabu ni poa eti apate "point five". Mzee wa kiswahili anaitwa "fataki" wa kizungu "kibabu". Foreskin za kiswahili utasikia "tupilia kule" za kizungu hata wanakula.
 
Nakataa ndiyo.

Ni tafsiri zenu tu hizo ambazo zinasukumwa na chuki dhidi ya Mange. Kwenye macho yenu Mange ni shetani.

Sidhani kama kuna chuki, huo ni ukweli. Ingawa anaweza akawa hana nia hiyo ila mazingira ya u-turn yanaonyesha hivyo.
 
Hayo ndio madhara ya sayansi na teke linalokuijia. Wewe mzazi unaruhusu watoto kuangalia mamuvi yenye mlengo wa mapenzi unatarajia nini?. Anyway sio tatizo la mtoto wala mzazi maana vitoto vinapozaliwa tu jambo la kwanza kinawaza kungonoka tu, halafu ukute mzazi yuko bize na mambo yake akaacha kugawa ushauri kwa watoto matokeo yake kila mwezi mtoto anatoa mimba. Walaaniwe wazazi wote ambao MUNGU amewatunuku zawadi ya watoto then wakawaacha pasi na msaada wa ushauri juu ya dunia hii.
 
hivi vibinti vina shida gani lakini? yani kinakamuliwa na mtu mwenye 48 years?
si bure, wanahitaji maombi kabisa ya kuvunja hilo roho la pepo chafu.
 
Hii kitu imeshika kasi kwa sana. Binti mmoja pale Mawezi hospital aliletwa na mama yake maskini hata hajui kuwa ana mimba. Kana miaka 14 anaulizwa umekuja kufanya nini hospital anasema hata hajui. Ulifanya na nani kanajibu Elipenda huyo ndo alinilalia. Lini ? Nilipoenda kutafuta kuni! Halafu mbaya zaidi Jamaa liko mtaani tu linadunda. Utamaduni wetu unatufanya tuwe na waathirika wengi sana wa haya mambo. Tunazalisha watoto wengi sana wa mtaani na bado tunakumbatia hivi vitendo.
Mimi nashauri hata kama huyo mzungu kaenda kwao bado Kampuni ipo, ufanyike utaratibu akamatwe aletwe nchini ajibu kesi yake. Kurudi kwao hakumpi kinga ya kutokukamatwa na kushtakiwa!
 
Hapo cjui kitatoka nini mzungu,mwafrka au mixer.i nid 2do a research.
LogA+logB=Log(AB) Proved!
 
Sidhani kama kuna chuki, huo ni ukweli. Ingawa anaweza akawa hana nia hiyo ila mazingira ya u-turn yanaonyesha hivyo.

Haya nendeni mkamshitaki mahakamani.

Ila sidhani kama huyo fataki angekuwa ni Mmatumbi U-Turn ndo ingelaumiwa.
 
shame on me! hata mimi ni leo nimejua CL ni nini? just kidding....Kuna baadhi ya members wanadiriki kukataa kwamba kuna mitandao au blogs zinaleta yote haya. Well ni kizazi cha Dot com lakini bora nyingi ya hizi blog zingekuwa za kuelimisha zaidi kuliko kujikweza na kujitangaza maisha wanayoishi na kuwafanya baadhi ya wasomaji hasa watoto wadogo kama haka kabinti kwamba maisha ni kuwa na kibabu cha kizungu basi utapata vitu kama CL, Blackberry kwenda kushop overseas etc. Naipenda sana blog ya Wavuti inaelimisha na kikubwa zaidi inasaidia wengi kujiendeleza kielimu. Hizi blog za muke ya muzungu bla bla zitawaharibu mabinti wengi. Wewe usiye na mtoto utasema utakavyo kwa tulio na watoto nadhani ni woga unazidi kututawala siku hata siku. Wazazi wa kabinti wapo responsible na hili lakini hata blogs za upuuzi zijiangalie na kujaribu kurekebisha maana au ujumbe muhimu wa blog zao sio tulikula tulilala tulishop tulidance tulikis....oooops tulitongozwa na upuuzi mwingine. Wana blog watoto wenu watakuja soma upuuzi wenu siku si nyingi then you will pay the price.
 
No comment, nahisi uyu dent pia alisahau kuwa ukila lazima uliwe, mimba ni ajali kazini
 
Back
Top Bottom