Mtoto wa Mchungaji - Matokeo

Hebu lipia hiyo service nikupe shule teh teh teh teh ...!

Dah mzee kuwa fear basi..we huoni kwamba tumejiunga mwezi na mwaka mmoja...na bado hadi leo tuko pamoja, sema wwakati we unaenda tusheni, mi nilikuwa navuta bhange:bange: kijiwe, tukapishana,nikashindwa ku-enlarge photo....doooh
 
Hahahahah umelia lia sana! NakuPM Kamanda wengine watapata shule bure hapa!
 
punguza kukaa na waumin wako sana kuwashaur waache zambi jalibu pia kukaa na mwanao ujalibu kumuelewesha maisha yapo vp na umsaidie kumfanyisha home work co kumwambia kasal na kufanya mema bila kumsaidia na matokeo yake unakuta ndo hayo. Asilimia kubwa ya watoto wa wachungaj ndo majambaz na hawanaelimu hii inatokana na mambo kama hayo pole sana jitahd kumfundsha mwanao kwan ukimueleza mwanao hautaonekana unakwenda kinyume
 
Mkuu nakushukuru, ulikuwa na haraka kuweka hili bandiko?

My Daughter is intellingent than you am afraid...angalia hizo highlighted in red!
 
sorry Mchungaji!

Mchungaji nisamehe ila ukweli ni kwamba you are not a Biological baba wa huyo mtoto.
Uo ukilaza katoa wapi kambane mama mchungaji huenda kuna walakini.
 
DNA test zinaonyesha mimi ni baba yake kwa 80% ondoa wasi wasi...najua ni traits za mama hizi lol
 
Not at all.
Mama wachungaji hawako hivo sema basi tu kwa kuwa haingii JF.
isije ikawa lab technician aliyepima alikuwa chongo akasoma 80% badala ya 8%

Mchungaji kama ni damu yako hii nahama kanisa
 
Hahahahaha......! Nimefurahishwa sana na jibu la swali namba 2...! Water formula; (h to o)......!
 
Back
Top Bottom