Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Tena wanapiga konyagi na ginMaji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Ila Kuna miamba inakula Bata jamani! Raha ya kuzaliwa kwenye utajiri hakyanani....Mungu akunusuru upone!
Kwakweli
Wengine Wahaha Huko Mulyabhibhi Daraja La Kikwete Kigoma Hata Hiyo Club Hawaijui
Wengine Vyeti Tele Wanahaha
Acha Tuone!!!!😏😐😶🤨😑
Tatizo hawa watu,,hawajui hiki kipindi wanapaswa kuwa waangalifu sana,,yaani hata mtaani watembee kwa kunyata kwa umakini mkubwa,kosa moja,goliIla Kuna miamba inakula Bata jamani! Raha ya kuzaliwa kwenye utajiri hakyanani....Mungu akunusuru upone!
Yaani unatoa Dola 500! Aisee! Tz hii hii..
kweli madame kama ww ulivyo rithi roho ya kichawi toka kwa wana kijani wenzakoMaji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.