Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Yatch club mwenzangu na Mimi kuingia pale ni Kama kuisaka visa ya kwenda kwa Trump.Nakuombea upone upesi mtoto wa mwenyekiti

Babu yake Pamoja na Mzee Rupia na kina Dossa ndio watu waliokua na pesa ya kuifadhili TANU miaka hiyo ...
Ile club bilicanas jengo “walizawadiwa” na Mwalimu ndio maana Pamoja na kuwa mpinzani hakuna Rais kuanzia Mwinyi hadi Kikwete amewahi kuulizia au hata kujaribu kuwatoa

Infact Babu yao Pamoja na kuwa alipewa hakuchukua document wazeee wa zamani walikua hawa fuatilia Sana
Ila baada ya Mzee mwinyi kuingia aliwapa share asilimia 70% ya Jengo na 30% NHC ... ambako nazo zilishuka baada ya ukarabati mkubwa uliofanyika miaka ya mwisho ya 90 ambako NHC walikubaliana kukatana

Nahisi hadi Sasa Pale hapajajengwa kwa sababu atakayejenga Pale miaka ijayo Magu akiondoka kutakua na fidia kubwa sana Pale

Aliyekua mkurugenzi wa NHC anasema kwa rafiki zake walishauri lisivunjwe kuhofia sheria mbele ya Safari Lakini alipigiwa simu na kiongozi mkubwa kuambiwa akiamka asubuhi asikute Jengo ndio maana hawakuwapa hata nafasi ya kutoa mali zao nje
 
Billioni 8 inafanya kazi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ila starehe za hko wabongo tunalazimisha tu
Hata mbongo awe na hela akienda huko wala haienjoy sisi tushazoea amshaamsha
Tushazoea kutukanana na mabar maid huu ndy ukweli..... Mara mhudumu kaja kakukaliaaa
Yaani fujo tu.... Mambo ya kwenda fishing wapi na wapi na sisi

Ova
Mrangi new Don in town..natumai ushawah kuingia hapo.
 
Ila starehe za hko wabongo tunalazimisha tu
Hata mbongo awe na hela akienda huko wala haienjoy sisi tushazoea amshaamsha
Tushazoea kutukanana na mabar maid huu ndy ukweli..... Mara mhudumu kaja kakukaliaaa
Yaani fujo tu.... Mambo ya kwenda fishing wapi na wapi na sisi

Ova

Hatujafikia hatua za juu za ngazi ya Maslow ya mahitaji ya binadamu.
 
Back
Top Bottom