Mtoto wa Makamba aendesha utapeli wa kutisha

Mtoto wa Makamba aendesha utapeli wa kutisha

Chishango

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
875
Reaction score
363
Wadau kuna kijana anayeitwa AMANI YUSUFU MAKAMBA mkazi wa mikoa ya kusini. kijana huyu anyedai kuwa mzee Yusufu Makamba ni baba yake mzazi amekuwa akiwatapeli watu mbalimbali fedha na mali kwa kutumia jina la baba yake na anapatikana sana mikoa ya kusini na nyanda za juu.

USHAURI
kama mzee makamba ataipata habari hii afanye mipango amchukue mwanae na kumjumuisha katika familia maana inavyoonekana ni mtoto wa nje ya ndoa
 
wadau kuna kijana anayeitwa amani yusufu makamba mkazi wa mikoa ya kusini. Kijana huyu anyedai kuwa mzee yusufu makamba ni baba yake mzazi amekuwa akiwatapeli watu mbalimbali fedha na mali kwa kutumia jina la baba yake na anapatikana sana mikoa ya kusini na nyanda za juu.

Ushauri
kama mzee makamba ataipata habari hii afanye mipango amchukue mwanae na kumjumuisha katika familia maana inavyoonekana ni mtoto wa nje ya ndoa

mtoto wa nyoka ni nyoka=pembe za ndovu=richmond=epa
 
Ki ukweli huyo jamaa, alikuwa Songea miaka ya nyuma kawaliza sana watu, akifika anajfanya ni mtoto wa makamba, mara anaaza kumbigia simu, kuna siku, tulimtumia january sms, alijibu atafutilia na kumjulia mzee wao, anyways tuliachana nae was2011, sijui bado yupo huko ama? ni tapeli sana!
 
Back
Top Bottom