Mtoto wa Kizungu...

Mtoto wa Kizungu...

mihadarati

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
268
Reaction score
74
. mzungu..jpg
Nimeikuta mahali nikasema niikopi kama ilivyo nilete hapa ili wanajamvini tuweze kuchangia kwa pamoja baada ya kuwa interested na suala lenyewe.

Kama picha inavyoonekana hapo juu,Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.
naomba wenye uelewa wa kitaalamu zaidi watusaidie...

Pia kwa upande mwingine ingekuwa ndo wew Mume au Mke ungefanya nini?
karibuni wadau..
 
Dah hiyo ni noma sana,kwa kweli japo kwa upande wangu naona siyo jambo rahisi embu ngoja tuwasubiri wataalamu watuambie..
 
Mke wangu mnyamwezi mimi msukuma nizae mzungu wapi bwana ...njamaa kaibiwa kweupee.
 
.View attachment 131119
Nimeikuta mahali nikasema niikopi kama ilivyo nilete hapa ili wanajamvini tuweze kuchangia kwa pamoja baada ya kuwa interested na suala lenyewe.

Kama picha inavyoonekana hapo juu,Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.
naomba wenye uelewa wa kitaalamu zaidi watusaidie...

Pia kwa upande mwingine ingekuwa ndo wew Mume au Mke ungefanya nini?
karibuni wadau..
kwa mtazamo wangu binnafsi; Naona wanafamiliya wameridhika na wapo katika furaha !! Safari ya miezi tisa (9) tumboni kitokacho hua ni faraja kwa mzazi... rangi,umbile,na vinginvyo ni mjadala wa nje !!!
Mungu amkuze kwa uzima. (Rainbow family)
 
Life is Short ni kweli uliyoyaandika yana busara ila yanawezekana kulingana na uelewa wa wazazi pia.
Mhe. Mangi Tumeafikiana na kutafakari hali halisi kama wasemvyo " ishii sana Uone mengi " Siku za mbele tutahakiki mambo mengi ya ajabu !! Siku za nyuma katwe jambo kama hili halikubaliki..! TIME WILL TELL.
Blessings 2 u mkuu
 
duh...!! Hili ni balaa. Ila hiyo familia nimeipenda ina furaha kama tukio hilo sio la ajabu.
Tupate ufafanuzi kutoka kwa wataalamu.
 
Mhhh.... Hapo hata jini mahaba wa kizungu atakua amefanya yake
 
duh...!! Hili ni balaa. Ila hiyo familia nimeipenda ina furaha kama tukio hilo sio la ajabu.
Tupate ufafanuzi kutoka kwa wataalamu.

Jamaa kachapiwa wife na mtasha
 
Mke kachoka kuzaa...mume anataka mtoto...basi mwisho wa siku wameamua ku adopt mtoto.
Case solved!
 
.View attachment 131119
Nimeikuta mahali nikasema niikopi kama ilivyo nilete hapa ili wanajamvini tuweze kuchangia kwa pamoja baada ya kuwa interested na suala lenyewe.

Kama picha inavyoonekana hapo juu,Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.
naomba wenye uelewa wa kitaalamu zaidi watusaidie...

Pia kwa upande mwingine ingekuwa ndo wew Mume au Mke ungefanya nini?
karibuni wadau..

ilitokea UK kwa mara nyingine tena

Black couple Francis and Arlette Tshibangu have white baby with blond hair | Mail Online

kabla ya hio ilitokea kwa hawa hapa

White Baby Shocks Black Parents: Medically Possible? - CBS News
 
Back
Top Bottom