jimmykunchi
Member
- Sep 19, 2013
- 33
- 10
Mmmmh...!! Ngumu kuamini.
Hapo ni adoption tu..tena hivi wako uingereza..ina make sense!!
Uwezekana wa mshikaji kuchapiwa mke na mzungu halafu kupata mtoto full mzungu upo...lakini duhh ndo mpaka mtoto awe blonde...no way!!
Na eti huyo mume akubali kabisaaa kufyatua mzungu...haaamna.