Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini?

Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini?

Halafu unakuta mtu unataka ukapige sound demu lakini kuna mtu yupo naye beneti, halafu wewe unamuheshimu kwa kudhani ni shemeji kumbe eti ni "kampani"

Watu wa hivyo wanatuwekea usiku sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini? Mwisho utashikishwa mkoba

Kama hakuna kitu cha msingi kinacho wakutanisha kama vile kazi au mahusiano ya kimapenzi tembea zako achana na habari za kimamamama.

Mambo ya ubesti ya nini? Au na wewe unataka kuwa mvaa chupi za sambusa? Hii tabia ni ya kilofa sana na imeota mizizi si kwa wanaume wa dar tu Bali hata wa mikoani.
TANZANIA BILA ULOFA INAWEZEKANA
Kwanza mwanaume utapiga story gani na mwanamke tofauti na mapenzi na viutani vya kitoto kitoto tu ?

Mazungumzo ya wanawake yamecenter kwenye mambo matatu tu.
1 mapenzi
2 kuteta watu
3 mavazi
Sasa mwanaume unaweza ukaongea hivyo vitu kama Kweli unajitambua ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unakuta mtu unataka ukapige sound demu lakini kuna mtu yupo naye beneti, halafu wewe unamuheshimu kwa kudhani ni shemeji kumbe eti ni "kampani"

Watu wa hivyo wanatuwekea usiku sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanakera sana unakuta mtu anashikilia pembe kila siku kumbe joka la kibisa.
Kuzibia watu tu.

Akishatekwa na vitabia vya like anaanza kuita wanaume wenzie Dear, baby, my, au darling manina kabisa [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Unakuta akicheka mpaka anapiga na uwiiii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna a large possibility unasema hivyo coz ni ngum kwako kuzoeana na waschana,
Na possibly unaona wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
ohoooo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom