Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini?

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,933
Reaction score
3,777
Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini? Mwisho utashikishwa mkoba

Kama hakuna kitu cha msingi kinacho wakutanisha kama vile kazi au mahusiano ya kimapenzi tembea zako achana na habari za kimamamama.

Mambo ya ubesti ya nini? Au na wewe unataka kuwa mvaa chupi za sambusa? Hii tabia ni ya kilofa sana na imeota mizizi si kwa wanaume wa dar tu Bali hata wa mikoani.
TANZANIA BILA ULOFA INAWEZEKANA
 
Wanaume wa dar mnabebeshwa sana mikoba
 
Kuna upuuzi huwezi kuuanzisha unless you have a lot of money and time saluti kwako worldboss ngoja wavuja jasho tupambane na jua
 
Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini? Mwisho utashikishwa mkoba

Kama hakuna kitu cha msingi kinacho wakutanisha kama vile kazi au mahusiano ya kimapenzi tembea zako achana na habari za kimamamama.

Mambo ya ubesti ya nini? Au na wewe unataka kuwa mvaa chupi za sambusa? Hii tabia ni ya kilofa sana na imeota mizizi si kwa wanaume wa dar tu Bali hata wa mikoani.
TANZANIA BILA ULOFA INAWEZEKANA
Watakua ******* baridi hao...
Afu unakuta uyo msenge hata huyo demu hagongi wala nini ila unakuta anamganda kishezi yani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom