Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini?

Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini?

Mtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini? Mwisho utashikishwa mkoba

Kama hakuna kitu cha msingi kinacho wakutanisha kama vile kazi au mahusiano ya kimapenzi tembea zako achana na habari za kimamamama.

Mambo ya ubesti ya nini? Au na wewe unataka kuwa mvaa chupi za sambusa? Hii tabia ni ya kilofa sana na imeota mizizi si kwa wanaume wa dar tu Bali hata wa mikoani.
TANZANIA BILA ULOFA INAWEZEKANA
Hii sasa ndo kusutana, hapa kuna mtu umsuta si bure; na wenye tabia za kusutana ni wanawake.
 
Sasa mkuu hata papuchi hamli kazi kubeba mikoba tu naanzaje kuwaonea wivu wewe na shosti wako wa kike?
kwahyo urafiki wa me na ke unaoukua wewe ni huo tu wakubebeshwa mikoba... kama ndio huo pekee unaoujua.... i rest my case....
 
Kuna jamaa anatembea kila sehemu na mademu wawili na huwa haongei sana na sisi wanaume wenzake..hadi napata walakini,,hivi inawezekanaje wakawa mabesti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ukawa na urafiki na wanawake bila kuwa mahusiano ya kikazi, kibiashara, kiundugu, kimapenzi na kidini.
Kama hivyo havipo basi huyo mwanaume lazima atakuwa mkuda
 
Huwezi ukawa na urafiki na wanawake bila kuwa mahusiano ya kikazi, kibiashara, kiundugu, kimapenzi na kidini.
Kama hivyo havipo basi huyo mwanaume lazima atakuwa mkuda
Aisee!! bora umewafafanulia vizuri maana hii tabia ya kimama imeota mizizi
 
Back
Top Bottom