Ndo ulofa kama huo tunaojaribu kuukemea hapa mkuu.... Inasikitisha sanaKuna jamaa anatembea kila sehemu na mademu wawili na huwa haongei sana na sisi wanaume wenzake..hadi napata walakini,,hivi inawezekanaje wakawa mabesti
Sent using Jamii Forums mobile app
******* sana majamaa, yaani jitu linamganda demu mpaka,mnahisi jamaa linapiga kumbe wapi....kazi kuzibiana tuWatakua ******* baridi hao...
Afu unakuta uyo msenge hata huyo demu hagongi wala nini ila unakuta anamganda kishezi yani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanakuaga wanoko ******* yani afu unakuta ati wanaitana na yule demu "my bff wangu"...******* sana majamaa, yaani jitu linamganda demu mpaka,mnahisi jamaa linapiga kumbe wapi....kazi kuzibiana tu
Wivu wa nini sasa jamaa ameongea ukweli we nae chenga sana....Kuna a large possibility unasema hivyo coz ni ngum kwako kuzoeana na waschana,
Na possibly unaona wivu
Kikubwa mwanaume hafundishwi kuwa mwanaume,
Kikubwa ni kujielewa na kujua unachofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama hawajaoa waache udadaWaambia waache umama
Wanaanza kukuona fambaKabisa man, mazoea ya hovyo na wanawake mwisho wanaanza kukuita shoga yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yani ... Mwanaume rijali hawezi kuwa lofa lofa ...Ukiona tu mwanaume kampani yake kubwa ni wanawake basi juwa huyo ni shoga....kuna jamaa mmoja mara nyingi yupo na wanawake na mambo yake ni ya kike sana baadae nikaja kugundua ni gay
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwananangu kwa huu Uzi ni wachache tulioulewa hata Mimi binafsi hakuna kitu nisichokipenda kama Mshikaji kujipigisha stori na madem et washikajiMtoto wa kiume mazoea na wanawake ya nini? Mwisho utashikishwa mkoba
Kama hakuna kitu cha msingi kinacho wakutanisha kama vile kazi au mahusiano ya kimapenzi tembea zako achana na habari za kimamamama.
Mambo ya ubesti ya nini? Au na wewe unataka kuwa mvaa chupi za sambusa? Hii tabia ni ya kilofa sana na imeota mizizi si kwa wanaume wa dar tu Bali hata wa mikoani.
TANZANIA BILA ULOFA INAWEZEKANA