tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,795
- 31,305
Waungwana poleni kwa majukumu.Kwakweli kuna mwanamke ananifuatilia sn anadai ananipenda,bahati mbaya ni jirani na ni mke wa mtu.
Sasa ana mtoto wake wa kiume yupo form 5 kaanza kumfuatilia mama yake.
Leo sasa,nimetoka kivyanguvyangu bahati mbaya narudi home mwanamke naye huyu hapa ndo anafika kanikumbatia,nikakimbilia ndani,kafuata.Bahati mbaya alidondosha pochi nje unfortunatelly mtoto wake huyu hapa anamwona mama yake anatoka kwng daaa mama kafoka sn,et mtoto ananiita uncle nakuomba mara moja,nikatoka nikamsikiliza et "mbona huyu anatoka ndani kwako"?nikamwambia alikuwa ananiuliza kuwa bwana yake kafika?
Dogo kaacha kukaa bweni,anakaa kwa mama kila weekend.
ATAJIJUA