Ccm ataendelea kuiba kura na kushinda vijijini kwa akili kama,hiziHabarini wadau...juzi kati nilipita chuoni tumaini university mwenge campus hapa dsm...aiseee nilikutana na mtoto mkali wa kinyarwanda ana weupe flanhv yupo diploma na nilipoulizia kwa wadau wakasema anakaa mitaa ya kinondoni..kama kuna mtu anayemfaham yule mtoto plz
Duh,umemmaliza mjombaWanaomfahamu si hao wadau waliokwambia mpaka anapoishi!
itakuwa yeye ni bata au kuku ..sasa anawaza pumba Anataka kuzila au !??Badala ya kuwaza maisha unawaza pumba asubuhi asubuhi? Shwain!!!
Nyuzi nyingine za kipuuzi sana kwakweli.Wanaomfahamu si hao wadau waliokwambia mpaka anapoishi!
NdioUpo chuoni hapo mkuu
Poa mkuu...yupo diploma mwaka wa pili mweupe hvNdio