Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
...Well,
unawezekana una elements za psychologist; social material and Understanding emotional distress.
Umegundua nini kwenye ujumbe wa mada hii?
Kwanini ume link matakwa ya mtoto wa kike, na kusameheana kwenye maisha ya ndoa?
Be free to express yourself.
Unahitaji mwanamke katika maisha yako, wa kumwonyesha mapenzi yako, atakaye appreciate chochote kidogo unachomfanyia, na kukupenda unconditionally.
Haya yanawezekana kutoka kwa binti yako au mama yako tu. Wachache wa sisters, aunts, wife na wanawake wengine wachache wanaokuzunguka wanaweze fanya hivi. Mkeo ukimkosea kosa kubwa anaweza kuamua kutokukusamehe maisha yake yote, mkapart ways, daughter ukimuomba msamaha mara nyingi atakusamehe, you are her dad no matter what.
Thanks FA,
nadhani hapo umejijibu mwenyewe kwanini natamani kuwa na my 'precious & Angelic' Baby Girl.
Please note;, my ex-wife is my best friend but we cannot live under same roof.
We talk, laugh and share parental responsibilitie of our two boys.
"Tatizo" langu; natamani nipate Baby Girl.
Kama haiwezekani namshukuru Mungu kmwa majaaliwa yake.
Kama uwezekano upo, kwanini nisijaribu?
Natafakari faida/hasara zake.
Please note;, my ex-wife is my best friend but we cannot live under same roof.
We talk, laugh and share parental responsibilitie of our two boys.
"Tatizo" langu; natamani nipate Baby Girl.
Kama haiwezekani namshukuru Mungu kmwa majaaliwa yake.
Kama uwezekano upo, kwanini nisijaribu?
Natafakari faida/hasara zake.
...I definately do that, Thanks Bro.
It's hard, Truth Hurts...lakini,
nachukulia Michango na Maoni as alternatives,
sio final Answer.
Mbu leo umekuja na stori ya kunihuzunisha, Hako katoto kanavyopendeza hapo..........
Halafu unasema unatamani mtoto wa kike, Dah Mbu watoto si wanatoka kwa Mungu jamani,
Unaweza ukajitaidi kwa nguvu zako kutafuta wa kike ukamkosa, ukaishia kupata wa kiume ambao hutawapenda vizuri.
Hapo inaweza kutokea hata ikiwa ni ndani ya ndoa.
Huko nje si ndio balaa kabisa..............
Mbu mshukuru Mungu kwa hao aliokupa bwana mzee,
Basi kama unatamani kulea katoto ka kike fanya kama hao wakuu walivyo kuambia hapo juu.
Lakini usiingie kwenye mgogoro na mwanamke ambaye hatakubali kuzaa mtoto na kumgawa kama MBUZI.......
Hakuna hasara ya kuwa na mtoto wa kike or any other sex! Njia gani unayotumia kumpata is what matters.
1. Is it from love?
2. R u going to give her a family?
3. Ask people walioexperience single parenting for an expirence!
I am a single parent of 10 yrs boy. To tell you the truth it is not easy, and l worry a lot about my son. Find a wife for not only for ur dreamy daughter, but also for ur 2 sonushkas.
...dah, I've two toughies bana,
They are my Rocks! Am so proud of them
Hilo la kuzaa watoto halafu kutowapenda mnh, linauma sana.
Haitakuja tokea.
Umegusia Mw'mke azae kisha aje agawe mtoto kama mbuzi,
kwanini ume cross reference mnyama? una maanisha kafara?
Iweje Mw'ume anapokataa mtoto, analaumiwa,
...anapotaka mtoto anyimwe?
Good advice but hapo kwenye red you are scaring me mydia, is it that scary?? Am still a junior learner!!
Mhh! Your ex ni best friend lakini huwez kuishi naye...mhh!
Mkuu kupata mtoto wa kike haisababishwi na mwanamke. Mtoto yeyote anayezaliwa jinsia huwa inachangiwa sana na baba. Kwa hiyo unaweza pata mwanamke mwingine na bado ukaendelea kupata watoto wa kiume tuu. From experience kaka nakuambia, mpaka kwa Doctor nilienda ili nipate wa kike na hayo ndiyo majibu ya Doctor. Na kumbuka siyo Muhimbili bali kwa wenye nchi zao zilizoendelea.
Hakuna hasara ya kuwa na mtoto wa kike or any other sex! Njia gani unayotumia kumpata is what matters.
1. Is it from love?
2. R u going to give her a family?
3. Ask people walioexperience single parenting for an expirence!
I am a single parent of 10 yrs boy. To tell you the truth it is not easy, and l worry a lot about my son. Find a wife for not only for ur dreamy daughter, but also for ur 2 sonushkas.
Good advice but hapo kwenye red you are scaring me mydia, is it that scary?? Am still a junior learner!![/QUOTE]
...Mwj1, take it easy. Naamini Kaunga anamaanisha madhara ya mama wa kambo.
mwanajamii nakunga mkono,well vipi umesha olewa.