Hakuna anaezaliwa anaitikia abee au naam. Ni kuiga na kufundishwa tu, kama mtoto wa kike kazungukwa na vijana wa kiume na ile kuisikia naam kila mara na yeye anakariri na kutumia hilo hilo sometimes watoto wengine wanakuwa wanachanganya tu. Hivyo ni kiasi cha kumsisitiza kutumia iliyo yake
Kwani Naam maana yake nini? Tuanzie hapo kisha ujibu na hili, unajua asili ya neno naam linatokana na lugha gani?
Kisha malizia na hili Je naam ni ya kike au kiume?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.