Utashangaa mume ghafla hapitii tena pub akitoka kazini ni home faster faster. Tena anaanza kutoa na pesa ya shopping kwa binti.Halafu ukute binti mgeni ana chura kumzidi auntie yake, akijizungushia hiyo kanga moja, wanaume wenyewe hawa!!!
Ukiwa na mvuto katika familia hayo yategemee sio rahisi ndugu zako wa kike kukukaribisha kwao na huwa kunakakutengwa flani hivi japo na huyo binti hajafanya poa kuamka saa nne
Kesho yake tiketi utamuhusu binti mgeniUtashangaa mume ghafla hapitii tena pub akitoka kazini ni home faster faster. Tena anaanza kutoa na pesa ya shopping kwa binti.
Wazazi wengine wanaamini house girl ndiyo wa kutandika vitanda na kuosha vyombo mwanae ni wa kusoma, kwenda tuition na kuangalia cartoonsAkirudi nyumban mfundishe. Mama yangu anakauli moja mtoto wa kike ukimlea Kama Jipu La tako litatumbuka sehemu mbaya litakutia aibu. Jipu la tako likamue likishaiva
Matatizo huanzia, Hapo unalitengeneza bomu kwa mikono Yako Mwenyewe . Unadhan huyu mtoto akienda ugenini atafanya nini?Wazazi wengine wanaamini house girl ndiyo wa kutandika vitanda na kuosha vyombo mwanae ni wa kusoma, kwenda tuition na kuangalia cartoons
Ni kweli kabisa kwanza watoto wanapenda kuiga kazi kama sehemu ya michezo na ukuaji. Akiwa anapenda kuiga kuosha vyombo mpe sahani na kikombe chake cha plastic aoshe toka miaka mitatuHapa tatizo ni kwa mzazi au mlezi wa hawa Mabinti
nitaanza visa balaaUtashangaa mume ghafla hapitii tena pub akitoka kazini ni home faster faster. Tena anaanza kutoa na pesa ya shopping kwa binti.
Hapana anaweza kuanzia boarding kuanzia la kwanza na bdo anatabia nzuri, ni malezi ya wazazi ndo yanatakiwa 7bu wazazi weng wakiona wana Dada wa kazi hawa waambiii watoto wao wawai kuamka na kumsaidia na kazi zngne za nyumban...... Kwaio ni jukumu la wa mama kuwafundisha watoto wakiwa wadogo kuwai kuamka na kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbanMara nyingi ni hawa tunao wapeleka boarding kuanzia darasa la kwanza binti wa darasa la saba hujui kutandika kitanda
Ni kweli kabisa mkuu, ikiwezekana dada weekend apewe off watoto wafanye shughuli zote za ndaniHapana anaweza kuanzia boarding kuanzia la kwanza na bdo anatabia nzuri, ni malezi ya wazazi ndo yanatakiwa 7bu wazazi weng wakiona wana Dada wa kazi hawa waambiii watoto wao wawai kuamka na kumsaidia na kazi zngne za nyumban...... Kwaio ni jukumu la wa mama kuwafundisha watoto wakiwa wadogo kuwai kuamka na kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumban
Wahenga walinena.Ni kweli kabisa kwanza watoto wanapenda kuoga kazi kama sehemu ya michezo na ukuaji. Akiwa anapenda kuiga kuosha vyombo mpe sahani na kikombe chake cha plastic aoshe toka mitatu
Ndio mkuu ndo inavyotakiwaNi kweli kabisa mkuu, ikiwezekana dada weekend spewed off watoto wafanya shughuli zote za ndani