Mtoto wa Johari aibua maswali, wadau wanataka cheti cha mtoto

Yule anayejiitaga mrekebisha tabia kuna wakat alikuwa anampigia promo kuwa kyna jambo kubwa sana huyo wema anakuja kulifanya tena kwa kushirkiana na watu wa ngaz za juu serikalin na hapo ndo watu wote watamheshim!!!! Kitendawili hko

Hata mi niliskia hizo tetesi eti anakuja na kitu kipya blah blah. Nahisi ni ili but am not sure rumours has it. Tusubirie mda ukifika.
 
Unguja kufanya nn wakat mjin ndo habar ya dunia
Potelea mbali, nipo tayari kuonekana nimekimbia jiji lakini ikiwa hadi mimba za watu zinauliziwa kadi ya kliniki utafikiri wamekuwa manesi, hapana kwa kweli!
Ananitisha huyu sio bure, unguja tena mhh
Shika adabu yako we mtoto, unamaanisha nini?! Si unajua sie watu wa mwambao tulivyo sensitive na hivi Viswahili vyenu mnavyojifunzia ukubwani!!!
 
ukiondoka mie utaniacha na nani?????????/
Nani kasema nakuacha... nimwachie warumi aringe! Au umesahau kwamba Dar-Unguja ni dakika 90 tu?! Yaani warumi akienda mjini kati kushangaa watoto wa mjini kisha tunaamua kuondoka kwa pamoja; mie natoka Unguja kuja Dar na yeye anaenda kwao Goba... mi nafika kwanza ghetto kabla ya yeye hajafika huko shamba!
 
Last edited by a moderator:
Habari za maandishi ya blue hasa za warumi, uwa siziamini.

Mods waanzishe subforum ya udaku.
 
Loh unatoka na chige? Halafu nyie mafumbo yenu siyapendi mxiuuu
Mpwa nawe ushaanza hapa... sasa mafumbo yapo wapi? Kwani wewe huijui test-tube? Huijui cylinder? Huijui flask? Huijui Bunsen Burner? Kwani hujui hivi vifaa vinatumika kufanyia practical? Huyu Heaven on Earth huyu anataka ku- resit Chemistry na Biology kwahiyo ameniomba nimsaidie kwenye practical! Eti mwenyewe anajifanya kutaka kwenda kusomea udaktari... mji una mambo huu; ndo maana nataka kuhama zangu! Mpwa, ukisikia cjui cylinder, mara test tube sijui nini na nini, ni hizi hapa, kwahiyo hakuna mafumbo hapo: Tubes.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hivi "wadau" ni kina nani?...hizi story za kutengeneza zinatia kinyaa. Kuzaa azae yeye vyeti waombe "wadau"?.
 
Na Lady jay dee nae nasikia ana ujawepes muda si mrefu atasafiri kwenda kwao halafu arudi na mtoto. Mjini mipango kisa cha kutusema hatuzai. Mtakoma tunazaa kwa siri hadi mtoto aanze kukaa ndo mtamuona Insta.
 
Na Lady jay dee nae nasikia ana ujawepes muda si mrefu atasafiri kwenda kwao halafu arudi na mtoto. Mjini mipango kisa cha kutusema hatuzai. Mtakoma tunazaa kwa siri hadi mtoto aanze kukaa ndo mtamuona Insta.

Hahahahaaa ila tokea Jide aachane na Gardener anapendezaje?
Yaani hadi raha.
 
Hongera Johari

Sio lazima uanike maisha yako gazetini kila mtu ajue

Magazeti ya shigongo mmezid umbea lol
 
Back
Top Bottom