Mtoto wa Johari aibua maswali, wadau wanataka cheti cha mtoto


warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,239
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,239 2,000
KUFUATIA kuibuka kwa habari ya msanii nguli , Blandina Chagula ' Johari ' kubeba mimba na kujifungua kwa siri hadi mtoto kufikisha umri wa miezi 7 na kuripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti ' tumbo moja ' la hili la Risasi Jumamosi , mambo mengi mapya ikiwemo maswali yameibuka na kuzua ' sintofahamu ' juu ya uhalisia wa jambo hilo , Amani linakupa mchapo kamili .

Saa chache baada ya habari hiyo kusomwa na mamilioni ya Watanzania wakiwemo wadau wa sanaa na burudani wiki iliyopita , minong ' ono na mishangao ilianza kutambaa ambapo wengi walidadisi kwa kina ili kujua ' lipi ni tui la nazi na yapi ni maziwa ' juu ya habari hiyo.

MASWALI YALIYOIBULIWA
Miongoni mwa maswali yaliyoibuliwa ni pamoja na mimba aliibeba akiwa wapi ? Alitoka Dar kwenda Shinyanga anakodai kujifungulia mimba ikiwa na muda gani ? Anaweza kuianika kadi ya kliniki ? Nini sababu ya kuficha mimba hadi mtoto anafikisha miezi 7 na nini kimemsukuma kumwanika mtoto?

"Jamani, mbona hatuelewi haya mambo ? Hivi inawezekana kweli kwa mtu maarufu kama Johari kubeba mimba na hadi kujifungua na mtoto kufikisha miezi yote hiyo (7 ) bila kujulikana ?" alihoji Latifa Lusengi wa Sinza - Makaburini.
"Hiyo mimba aliibebea wapi ? Mbona alikuwa akionekana hana tumbo ?" alihoji mama Jane wa Mwananyamala .

MASTAA SASA
Kuashiria kuwa mjadala ulikuwa mzito , hoja na maswali hayakuishia kwa wadau tu kwani hata baadhi ya mastaa waliozungumza na mwandishi wetu ama ana kwa ana au kwa njia ya simu kwa nyakati tofauti , walionesha wasiwasi mkubwa juu ya habari ya utata huo huku wengine wakiomba hifadhi za nomino zao kwa kile walichokiita ni "kujitunzia heshima kwa Johari ."
Mtoto wa Johari .

MAINDA
Ruth Suka ' Mainda ' ndiye alifungua pazia la majadala huu kwa upande wa mastaa , baada ya mwandishi wetu kumpigia simu na kumtaka atoe maoni yake juu ya kujifungua kwa ' mbia' wake huyo ." Mmh! Kama kweli Johari amejifungua , basi mimi nampongeza kwani kuzaa ni baraka , lakini sasa afikirie na suala la kufunga ndoa na huyo aliyezaa naye kwani hata umri unamruhusu , asikomee tu mtoto . "

"Nyie acheni utani bwana, sisi tunashinda naye kila siku iwe baa au sehemu tofauti , mbona hatukuona hata hizo dalili na ishara za mimba na sisi wanawake tunajuana sana kwa mambo kama hayo ? Sijui lakini , " alihoji msanii mwingine wa kike ambaye amekuwa akionekana mara kwa mara na Johari na kuomba hifadhi ya jina .

"Kama ni kweli kulikoni afiche mimba ?" aliuliza kwa kifupi msanii wa kiume .

JOHARI AZIDI KUPIGILIA MSUMARI
Baada ya mwanahabari wetu kusikia maswali hayo kutoka kwa wadau na baadhi ya wasanii , alimtafuta Johari kupitia simu yake ya kiganjani ambapo alifunguka , kisha kukata simu.

"Mimba niliibebea tumboni, kwani kwa mwanamke kuzaa ni tatizo? Au walitaka niutangazie ulimwengu kuwa nimebeba mimba na nitajifungua siku fulani? Siko hivyo bwana.

Wanaotangaza hadi siku za kubeba mimba ni wao na umaarufu wao , mimi ni mtu mzima , naomba nilale kwanza, nina usingizi sana nitakutafuta baadaye, " alisema Johari na kukata simu na kuizima kabisa .

KUTOKA KWA MHARIRI
Kuzaa ni jambo la heri, tunamuomba Johari kukata kiu ya maswali yote ya wadau na mashabiki wake ili kuondoa mkanganyiko, ikiwezekana aanike cheti cha mtoto ili kuwakata ' vilimi ' wale ambao hawataki kuamini kile anachokizungumza.

Hakuna sababu ya kufanya jambo lenye baraka na neema kama hili kuwa siri na kuficha wakati yeye ni mtu maarufu.

Chanzo:
GPL
 

Attachments:

warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,239
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,239 2,000
Nyie global mtakuwa wachawi, cheti cha nn? Umbea tu mxiuuu manina zenu
 
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
12,941
Points
2,000
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
12,941 2,000
Hongera johari kwa kupata mtoto tena hukutangaza hadharani ulikomesha wambea kweli. Tena hukupiga picha kujizalilisha utu wako na tumbo tofauti na wengine wanadhani kuonyesha tumbo ndo ustar.
 
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,305
Points
2,000
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,305 2,000
Mji una visa huu... ndo maana nipo njiani kuhamia Unguja manake, mnh!
 
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,482
Points
2,000
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,482 2,000
Hongera johari kwa kupata mtoto tena hukutangaza hadharani ulikomesha wambea kweli. Tena hukupiga picha kujizalilisha utu wako na tumbo tofauti na wengine wanadhani kuonyesha tumbo ndo ustar.
Umeona shoga angu eeh?Kwakweli kwahili nampongeza Johari, ndio maana nampendaga.
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,239
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,239 2,000
Mhhhhhh! Kisa unampenda Johari umekasirika kusikia cheti, mbona Aunt unataka hadi kuhonga daktari uambiwe jina la baba mtoto lililopo kwenye kadi?
AHahahah mwenzangu mie nae ndumi la kuwili nichambe tu kwa kweli
 
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,482
Points
2,000
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,482 2,000
AHahahah mwenzangu mie nae ndumi la kuwili nichambe tu kwa kweli
Hahahahaaa warumi wewe? Basi tu nimekusamehe mbea mwenzangu.
 
Last edited by a moderator:
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
12,941
Points
2,000
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
12,941 2,000
Last edited by a moderator:
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
12,941
Points
2,000
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
12,941 2,000
Mhhhh! Hii mpya kwakweli, agombee ubunge ataenda kuongea nini huko bungeni?
Ndo nimeskia ati nyepesi nyepesi tu. Kama profesa maji marefu na kibajaji aliweza hata yeye anaweza aisee. Vick kamata mwenyewe siunajua kuna wale wabunge wakusema ndiiiooooooo.
 
G

glycerine

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
423
Points
0
G

glycerine

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
423 0
Ndo nimeskia ati nyepesi nyepesi tu. Kama profesa maji marefu na kibajaji aliweza hata yeye anaweza aisee. Vick kamata mwenyewe siunajua kuna wale wabunge wakusema ndiiiooooooo.
Yule anayejiitaga mrekebisha tabia kuna wakat alikuwa anampigia promo kuwa kyna jambo kubwa sana huyo wema anakuja kulifanya tena kwa kushirkiana na watu wa ngaz za juu serikalin na hapo ndo watu wote watamheshim!!!! Kitendawili hko
 
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,482
Points
2,000
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,482 2,000
Ndo nimeskia ati nyepesi nyepesi tu. Kama profesa maji marefu na kibajaji aliweza hata yeye anaweza aisee. Vick kamata mwenyewe siunajua kuna wale wabunge wakusema ndiiiooooooo.
Mhhhh mwenzangu inaweza ikawa hivyo na una points za msingi hapo ila wale hawakua maarufu kama wema ambaye watu wengi sana wanamjua na issue zake zileeeee!
Ila kama ndio hivyo basi sawa, na tungoje wakati wa campaigns ufike.
 
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
12,941
Points
2,000
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
12,941 2,000
Mhhhh mwenzangu inaweza ikawa hivyo na una points za msingi hapo ila wale hawakua maarufu kama wema ambaye watu wengi sana wanamjua na issue zake zileeeee!
Ila kama ndio hivyo basi sawa, na tungoje wakati wa campaigns ufike.
Mie nasubiria le tamkozi mwenyewe ili kuthibitisha ka ni kweli au rumours za watu.
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,142
Points
2,000
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,142 2,000
hahahahaa, acha hao akina Shilole wakomae na jiji lao lakini mimi; HAPANA... acha nijiendee zangu!
ukiondoka mie utaniacha na nani?????????/
 

Forum statistics

Threads 1,285,389
Members 494,586
Posts 30,860,300
Top