Mtoto wa irene uwoya babake nani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa irene uwoya babake nani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,212
  Likes Received: 5,614
  Trophy Points: 280
  Hili ni swali linaloendelea kuvuma kujua baba halisi wa mtoto wa irene ni nani
  wapo wanaume 5 waliofananishwa sura zao na mtoto krish ..yawezekana ulikuwa
  na kabahati cha kukutana nae wiki chache kabla ya kupata mimba je baba halisi wa mtoto krish ni nani??
  Si vibaya ukapata bahati ya kumwona mtoto na kuangalia kama anafanana na wewe pls!aijalishi amepewa jina na katauti bado unaweza muita jina lako kimoyo moyo
   

  Attached Files:

 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,287
  Likes Received: 22,047
  Trophy Points: 280
  Muhogo mchungu ndiye baba wa mtoto
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,212
  Likes Received: 5,614
  Trophy Points: 280
  Teeeteeeethhhhhhh !bujisq bana!!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,212
  Likes Received: 5,614
  Trophy Points: 280
  YAWEZEKANA UNAFIKIRI KALE KADOGO CHETU PALE KATI AKACHAGUI NANAI AINGIE KANAITIKIA WIMBO WA OMBENI NANYI MTAPEWA waoga ndio walionyimwa
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Ujinga mtupu. Ukishajua halafu iweje?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,212
  Likes Received: 5,614
  Trophy Points: 280
  Tatizo mshazoe kuitwa baba kumbe ni baba wakambo!!wake zenu watawaletea watoto wengi tuwa nje kwa style hii
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...