Mtoto wa Dimond | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Dimond

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Down, Apr 17, 2012.

 1. D

  Down Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf kuna habari mpya sinazoendelea huku arusha ambazo mm nimezihakikisha. Kwa mujib wa msichana ambae anaishi maeneo ya bomang'ome wilaya ya hai....inasemekana msanii wa muziki wa bongofleva nasib abdul maarufu km dimond alipokuja kufanya show kwene hotel iitwayo snow view inayomilikiwa na kigogo wa serikali alijiburudisha na mwanadada mmoja ambae sasa ni mjamzito na anadai kuwa ni wa dimond... mm pia nimemwona na nimjamzito kweli ila swali nililonalo ni kwamba huo ni mzigo wa dimond kweli. Anasema yeye hana shida na dimond ila anataka kumjilisha kuhusu kiumbe alichonacho. Anaomba mwenye namba ya dimond amsaidie ili aweze kufikisha ujumbe wake.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hajui kwamba ilikuwa one night stand....kumbe hata namba au contacts zake hana, iweje atakubali huo mzigo. Wanawake bana!
   
 3. Muke ya muarabu

  Muke ya muarabu Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hata mawasiliano yake hana?Makubwa
   
 4. b

  bebiwilli Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli atapona kweli? Anawezaje kujiburudisha na kiburudisho bila kondom.
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,469
  Likes Received: 3,743
  Trophy Points: 280
  Alijiachia mazima daaah. Pole hata mawasiliano hana aliona sifa ya kudo na mmaarufu
   
 6. D

  Down Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mm pia nakua na wacwac! Ila anavolia utamwonea huruma
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,469
  Likes Received: 3,743
  Trophy Points: 280
  Amejuaje mimba ni ya naseeb kwa tabia hiyo
   
 8. D

  Down Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaidieni jamani! U neva kno! Binadamu tunajijua wenyewe c ajab ukashangaa nasib anaikubali
   
 9. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa huu ujasiri kautoa wapi.
  Kaloweka mbichi
  Otis
   
 10. n

  nexus Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Akapime dna
   
 11. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ndio maana ukimwi hauishi kumbe.
   
 12. wejja

  wejja Senior Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa hata dawa ya prnzi havai? hakiyalai:disapointed:
   
 13. wejja

  wejja Senior Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alidhani ni wema wa sepetu huyo
   
 14. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kweli kali vidume vyote vinavyomsaga yy mimba kamwekea Diamond akichomoa? Hajalala nae?
   
 15. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145


  Huruma ya nini wakati alijichanua mwenyewe!!???

  Ngono zembe tu hii

  au alibakwa??
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  mtafute feisi buku mkuu,

  au ni wewe unataka mgawane makali
  ya maisha ya ar na dogo wa mbagala eti eeh.

   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  acha awepo hata kama wa kusingiziwa kuliko
  dogo alivyoondoka mtupu bila kuacha kitu.
   
 18. mukarutabana

  mukarutabana Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kinachomliza ni nini akati alitegesha mwenyewe tena kafanya bila mpila alitegemea nini kama si kupata toto tena lenye sula mbofumbofu,analia na iyo mimba je ukimwi ashafikiria?wanawake wengne bana dah!
   
 19. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Wewe unaishi Arusha! Halafu tukio ulilosikia ni kutoka Boma N'gombe! Wacha umbea!
  Join Date : 14th April 2012
  Posts : 6
  Rep Power : 302 Likes Received: 1
  Likes Given: 0
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  One night stand ..no protection ?kweli kizazi kinateketea
  Tanzania bila ukimwi............................
   
Loading...