Mtoto wa Dimond

Wana jf kuna habari mpya sinazoendelea huku arusha ambazo mm nimezihakikisha. Kwa mujib wa msichana ambae anaishi maeneo ya bomang'ome wilaya ya hai....inasemekana msanii wa muziki wa bongofleva nasib abdul maarufu km dimond alipokuja kufanya show kwene hotel iitwayo snow view inayomilikiwa na kigogo wa serikali alijiburudisha na mwanadada mmoja ambae sasa ni mjamzito na anadai kuwa ni wa dimond... mm pia nimemwona na nimjamzito kweli ila swali nililonalo ni kwamba huo ni mzigo wa dimond kweli. Anasema yeye hana shida na dimond ila anataka kumjilisha kuhusu kiumbe alichonacho. Anaomba mwenye namba ya dimond amsaidie ili aweze kufikisha ujumbe wake.

Huyo mshamba mdada anataka kupiga hela ili ajue atokee wapi....................atanyukwa na jokate na wema ohoooo.......bomang'ombe pamejaa malaya kila kona Ukienda Ango, Snow view, First choice, Diplomat, Las vegas eta.....hapafai na maroli yalianzaga kupaki kama kule hedaru lakini wazeee wakashtuka wakajenga kingo za barabara......:mad2:
 
Kuna kaka kasemwa kule kwa muke ya muzungu huwa anaamka usiku akikosa kazi anarusha thread ya uongo humu jf, i hope si wewe uliyeanzisha hii thread
 
hiyo hotel ni ya mtoto wa ndesamburo aitwaye tom, tom ana hela ila ni mzungushaji mzuri( tapeli) nimewahi kufanya naye kazi.
 
huyu demu nae kilaza! unaendaje kulala na mwanaume usiyemjua au kwa 7bu ni star? ulimbukeni ukamponza hakutumia hata kinga mbaya zaidi hata mawasiliano ya simu hana! naona kama nasoma hadithi ya alfu lela ulela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom