mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Ndio maana watu wana mitizamo tofauti kwny maisha,no. hio hio unayoiona wewe ni 6 aliyesimama upande wa pili anaiona ni 9.Hii arusi , kwa viwango vya bongo imepita kiwango cha ufahari. Mungu awasaidie tu kusikia kwenye social media kuwa wameanza kuparangana na kudaiana talaka.
Kwangu mimi, haikupasa kuwa ya fahari kiasi hicho labda kwa kuwa sina hela kiwango hicho. Katika suala la arusi za watoto, baba Jessica (JPM) alikuwa sahihi kwenye arusi ya mtoto wake.
Vv