Mtoto wa BUJIBUJI

Mtoto wa BUJIBUJI

Mtoto wa Bujibuji tena kaambiwa atunge sentensi akitumia neno Android: 50 Cent And Roid Banks wametoa corabo ingine!
 
uwiiiii mbavu zangu
kweli wee noma
 
buji, mtoto umepata lini? Au wa kufinyanga na tope la Ilolo?

Unajaribu kujenga hoja gani Kiranja?
1. Unamfahamu buji kiasi hicho kwamba haha uwezo wa kupata mtoto?
2. ....(ctaki bifu!)
 
hapo itakuwa like father like son.. Lkn dogo inaelekea ni mchumi kweli *wanauza tumaini tudogo*..!
 
406532_342130292546242_1617271095_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom