Mtoto wa ajabu huko nzega.

Mtoto wa ajabu huko nzega.

Senator p

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
282
Reaction score
43
Sijapata kuona,kuna mtoto yuko nzega ana umri wa miezi saba,cha kushangaza huwa alali mpka kuwe na kelele zwe za redio au umpeleke baa,sasa kwa bahat mbya jana kaugua alvyolekwa hosptal kulazwa hajalala.Ikabid kununua cm ya kichina na kumwekea headphone.Manes wameishamchoka kwa masaa 2.
 
mama yake aliyvo kuwa na mimba alikuwa anashinda disko.lol
 
Gud!Huyo anaafadhali kuna mchina ana miaka 13 tangu udogo wake yeye ni wakucheka tu!
 
Mama mtoto anatakiwa afungue 'kilabu' nyumbani ili kuepuka kero za hako KAMBUMBUMBU,wewe ni baba wa mtt nn!!
 
Mi mwanangu wa miaka mitatu wa kiume, tv isipocheza miziki ya bongoflavor hakukaliki ndani. Tumeamua kujaza CD za nyimbo hizo kibao ndani. Ndo kizazi cha dotcom hicho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom