Mtoto Nunda (4)

Mtoto Nunda (4)

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Wadau za saa hizi ,kuna huyu Nunda sasa ameanza kujifundisha kusema lugha ya kiingereza na huokota okota maneno ya kiingereza huko anakocheza na wenziwe na kuja kumuuliza mama yake anaporudi nyumbani.

SIku ya kwanza :Huku akiwa na shauku ya kutaka kujua.

Nunda :- Mama mamaa nini maana ya Shit ?
Mama kwa haraka bila ya kuchelewa : akamjibu. ni Chakula kwenye meza.

Siku ya pili :-
Nunda :- Mamaa nini maana ya ..son of a bitch ?
Mama nae hakusita kumpotezea mwanawe kwa haraka akamjibu :- Ni Padre

Siku ya Tatu :Huku Nunda akiwa na matumaini kuwa mama yake anaeweza kumpa maana ya uhakika.

Nunda ;- Mamiii mamii nini maana ya -f--uc-kin'

Mama nae hamuangushi mwanawe akamjibu kuvaa nguo.

Siku ya jumapili nyumbani kwa akina Nunda alialikwa mgeni chakula cha usiku.
Mara mlango umegongwa Nunda akanyanyuka kwenda kufungua akichungulia kwenye dirisha la pembeni ya mlango alimuona kuwa ni Padre .

Wakati akiufungua mlango Nunda akaanza kumkaribisha mgeni kwa kimombo :-

Hey son of a bitch , shits on the table and mom and dad are upstairs-f--uc-kin''". :becky:
 
Uwiiiiiiiii ni hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom