Mtoto na umbile la ajabu!

Mtoto na umbile la ajabu!

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,744
Reaction score
46,091
article-0-1A70629B000005DC-423_634x813.jpg

Xiao Wae akiwa amebebwa na mama yake, ambapo madaktari wameeleza mtoto kuwa na hitlafu
kwenye uti wa mgongo, jambo ambalo linahitaji uangalifu wa hali ya juu katika upasuaji, kwani
hata wakiukata ulipotokea lazima utatokea tena, PRAY FOR LORD'S MERCY ON HIM/HER.
 
Kila binadamu anamkia, ila wa huyu mtoto umetokea kuongezeka maumbile. I think there is a procedure to correct this.
 
Tatizo hlo lpo huitwa mgongo wazi na huwa wanapasuliwa wiki kadhaa baada ya kuzaliwa mtoto
 
Back
Top Bottom