Mtoto na maajabu yake!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mtoto alimwuliza mama yake hivi mbona mimi pakukojolea panahama?nikiinama panarudi nyuma nikisimama panarudi kati kwanini?je kwani mama napako pako hivyo?mama mtu akamwambia nenda kacheze.
 
Kuna mtt mmoja wa kiume alimuona mdogo wake wa kike sehem zake za kukojolea, alishtuka na kumwambia mamaake kuwa mdogo wake ile kitu imekatika mbona kuna flat screen
 
Jamani kweli Jf inaweza fanya watu wengine waeleweke kuwa wamekuwa vichaa. Sina mbavu!


Kwa kweli ukiacha kuperuzi ndani ya Jf utakuwa umekosa mengi.
 
Back
Top Bottom