We nani kakwambia huyu ni raia wa bara la Afrika?Mtoto Afrika! Mwenyezi Mungu akulinde wewe na watoto wote wa afrika mkue muwe raia wema wa bara hili.
We nani kakwambia huyu ni raia wa bara la Afrika?Mtoto Afrika! Mwenyezi Mungu akulinde wewe na watoto wote wa afrika mkue muwe raia wema wa bara hili.
We nani kakwambia huyu ni raia wa bara la Afrika?
naunga mkono hoja mkuu
Sina uhakika, anaweza kuwa.Lakini si ni mwafrika?
babaaaaa kama mimi
Sina uhakika, anaweza kuwa.
Acha kutupiga fix wewe...:loco:
toka huko yupo kama mimi sema ujui tu