Mtoto mpendwa akiwa na wazazi wake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1564724645254.png
 
Nimevutiwa na upande wa juu suruali, hasa hapo palipo bana zaidi.
Naona mtoto amependeza zaidi hata ya wazazi wake...
Huyo fundi wake huwa anachukua vipimo halisi au huwa anakadiria tu ?.

Je, mvaaji wa hizo nguo huwa haoni kama zina kasoro ?

Tunaamini mama wa familia ndiye anayehusika na kumuandalia mavazi mmewe, je tuamini kuwa hii ni kazi aliyoifanya au yuko busy na kulea mtoto ?
 
Back
Top Bottom