Mtoto mdogo mwenye Pesa Nyingi...

Mtoto mdogo mwenye Pesa Nyingi...

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,861
Jamaa alianzia mbali sana aisee

Whatever anafanya kutafuta hela nampa Heko

Hapa nadhani ni miaka 50 iliyopita na alikua anaitwa Atulokole Mwajilala😅😅😅
FB_IMG_1743328312906.jpg

Kwa sasa kamanda kajipata karudi ujanani na anaitwa Chief GodLove😂😂
Screenshot_20250330-124616.jpg
 
Kajipata kutoka chanzo kipi cha pesa?

Sahivi ndiyo namuelewa mwalimu nyerere alivyotaka kila anaemiliki pesa lazima biashara zake zijulikane vinginevyo siyo pesa halali.

Tueleze hizo pesa kachimba madini,kabet ,kauza nini, kalipwa mshahara au kaokota?

Inje ya hapo kuharibu bongo za vijana wazalendo

Madawa ya kulevya yanalipa isivyokawaida lakini Network ndo kipengele
 
Huyo kijana muongo sana, akili hana na ujinga mwingi sana, shule hana, kasema hiyo Mustang GT eti tshs 1.5 bil wakati hiyo gari ya US ni $ 21,000 unapata..!!

Huyo kijana mpuuzi na anatafuta umaarufu wa kijinga sana
 
Watu wanatumia UJINGA wa watanzania kujipatia hela mjomba
 
Kajipata kutoka chanzo kipi cha pesa?

Sahivi ndiyo namuelewa mwalimu nyerere alivyotaka kila anaemiliki pesa lazima biashara zake zijulikane vinginevyo siyo pesa halali.

Tueleze hizo pesa kachimba madini,kabet ,kauza nini, kalupwa mshahara au kaokota?

Inje ya hapo kuharibu bongo za vijana wazalendo
Kama hakuna alielalamika kuibiwa nae, kudhulumiwa, kutapeliwa na kama sio fisadi wa mali za umma, basi juhudi zake ziheshimiwe! Yapo majizi yanakwapua mali za umma na wabongo kibao wanakula mlo mmoja, tunachokifanya ni kuyashangilia na kusema mitano Tena!
 
Misso Misondo kapambana. Kijana mbunifu kabisa huyo, mpaka kapewa uchifu huko kwao
 
Back
Top Bottom